Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

Anamuiga tu Bosi wake Mkuu kwani hata Yeye pia alipoapa pale Uhuru Stadium November 2015 alianza Kwanza kwa Kulipizia Maadui zake Visasi.
 
Huyu maza ana mawenge mabaya Mimi nikiona habari yake nai skip anawazalilisha mno hao madaktari na uzalilishaji huo ushusha morali
 
Alikuwa yupo hivyo kabla hata ya kuwa Waziri...Alikuwa Naibu Katibu Mkuu Tamisemi
 
Mkuu barikiiwa kwa comment yako nzuri kwa Kuwa na jicho la Tatu. Hamna hata sehem mmoja utasikia wakikiri wao Kuwa hawajaleta pesa ya dawa si kwa basket au ruzuku ya serikalini ila utasikia Kwa nini hospitali haina dawa . Mara watu wameiba dawa. Uki uderfinance sector ya afya natokeo yao ndo hayo watumishi kusukumiwa jumba bovu
 
Acheni wizi wa dawa mtamuelewa tu, Mh ni mtendaji sio mwanasiasa,
Kuna Mh Aweso anawanyoosha wahandisi feki, miradi mikubwa ya maji mbona hamuongelei!
Serikali inanunua madawa lakini mahospitalini hayapo..NI WIZI WIZI WIZI TU..!
 
Bima ya afya Ichif ni tatizo bold this .na ukiona mtu au kiongozi anaishadadia huu mfuko Kuwa unaweza kuja kumsaidia mwananchi lazima ufikirie mara mbili mbili hata elimo yake
 
Ukimfuatilia vizuri wala hata hakuna anayemnyoosha hadi sasa. Yeye ni full kubwabwaja tu. Yaani hata haeleweki kama kweli yupo serious au labda anafanyia mzaha hiyo kazi. Huyu waziri utendaji wake haueleweki kabisa.
CCM oyeee
Mitano tena au sio dada jeni
 
Unacheza na Field Marshal wewe?
 
utakuwa ndio wewe ulisain mkataba mafundi wapo mje ya nchi.acha mama awanyooshe nyie
 
Na hata siku moja mwananchi Hawez rizika na huduma .mwananchu anaweza Susa tu Kuwa huduma ni mbovu kwa sababu alipokuja Lengo lake nilikuwa atibiwe bure aondoke sasa anapoambiwa akalipia huduma aliyopewa ndo chanzo cha malumbano na kuponda huduma
 
RMA maana karuka form iv na form six ndo akakatokea huko mpaka mph na sasa waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…