Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Hamna chochote anachofanya huyo mama zaidi ya utopolo tuHajawekwa bure huko kwenye afya ni uozo mtupu. Mafarmasia na boharia kazi kubwa kuuza dawa za serikali haziwafikii wagonjwa. Kwani hamsikii kila mahali wamama wazee vijana wakidai kazi ya pharmacia imekua kuelekeza wapi wagonjwa wakanunue dawa wakati hospitali zinapatiwa dawa? Kama duka lako la dawa unauziwa dawa za serikali ndio utamuona huyo mama ni wazimu. Huko kwa kina mama bado wanaambiwa waje na vifaa kujifungua au wanauziwa na manesi. Mtu unayeona hiyo hali mbaya ni sawa ndio utamchukia huyo mama.
Mapambano na fisadi na wazembe bado yanaendelea hadi wote tuona ufisadi na uzembe sio kitu cha kukubaliwa kama ndio kawaida.
Viva mama gwajima tunakutakia ushindi kusafisha wizara ya afya.