GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Unataka ongea yake au content? Dah!Umenielewa?. Nimesema ongea yake ilikuwa ya shida.
Aende ACT huko, CHADEMA tuna mambo mengi ya kufanya.CHADEMA wasije wakaingia mkenge wa kupokea Mtu maarufu kutoka mboga mboga!Huu ni mtego wa mbogamboga kuvuruga msimamo wa chadema, baadae muanze kukanyagana
I
Hawawezi labda kama wametumwa kuharibu Nchi
Ndo hivyo keshatoka.Nchimbi alikuwa anatumia hiyo nafasi yake kujitengeneza kisiasa lengo 2030.
Alikuwa anataka kujionyesha kuwa yeye ni tofauti sana na utawala huu.
Ili ifikapo 2030 watu wamuone kama mbadala.
Angekuwa anawapenda sana watanzania angekaa pembeni toka mwanzo.
Lakini kwenye hiyo hotuba alisema Rais yupo tayari kwa katiba mpya.Kwanin aseme tupambanie tupate Katiba Mpya wakat Boss wake alishasema ni kajitabu tu?
Asiye na maadili?Samia na CCM walimteua Mgombea Urais mwenza asiye na maadili baada ya kuitumikia CCM kwa miaka zaidi ya ishirini au 30 na bado mnataka CCM WAAMINIKE
Ajabu nyinyi manyumbu ya chadema mmekuwa bize siku mbili hizi na mambo ya ccm,
Akili yako imejaa mavi.CDM msije kulikaribisha ilo kubwa jinga emmanuel nchimbi.
Hao wote lao ni moja hakuna cha kufutwa uanachama wala nini,maigizo tu hayo.
CCM ilikwisha kufa siku nyingi.Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Naweza nisitawaze vzr nikatembea nanuka mavi 😎Ni kama maji tu usipoyaoga utatawazia..
KumamamaezenuHalmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Wewe kweli makebo (matako).Na chadema mumfute mbowe sasa ili iwe ngoma dro,
mkafanye kazi sio mnakalia politiki tu na kushindia mihogo na matobolwa
Mkuu labda umuulize mwenyewe Ndejembi. Ipo Marekani. Mimi ni mjumbe tu.Iko wapi hiyo Lincoln College?
Kaka ukishirikiana na watu wa dili chafu then ukataka kuleta michongo ya wokovu utanyooshwa tu na hasara ni kwako tu si wengineKweli watu wasikusapuze!
Sasa si ilisemekana ana maguvu?
Unafikiri wewe unajua kuliko yeye? Kete zinasukumwa mzeeHasara ipo kwa Nchimbi
Kufukuzwa ni sehemu ya kudhalilishwa.
Ni hatari