Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Hawajafumia hekima. Wangemezea tu.
 
Kosa kubwa alilolifanya ni kukataa kuhudhuria kikao cha kamati ya nidhamu,kama angeenda,angeondolewa umakamu rais basi,sasa yeye kutoenda ndio kajikuta kwenye hali hii
 
Alishaga pewa kalipio Kali huko nyuma na Sasa hakujifunza anaendelea πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Baba yake alishawahi shughulikiwa pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 3657640
Watanzia kuambiwa tudai katiba tuhakikishe tunaipigania ndio kosa?

Kwahiyo CCM B imeona ugali wao utaharibika ndio mkaona mumtoe kafara ima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…