Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Tatizo hawana misimamo ya kujiuzuru kama mambo hayaendi vilivyo, mimi natoa mfano waziri magufuri kila wizara alio enda impact yake ilionekana na maraisi wote walimuelewa, kwanini sio wengine?
 
Tunabubujikwa na machozi ya furaha mama kumuwezesha ndugulile kushinda hiyo nafasi.

Nyambaff
 
Tatizo hawana misomamo ya kujiuzuru kama mambo hayaendi vilivyo, mimi natoa mfano waziri magufuri kila wizara alio enda impact yake ilionekana na maraisi wote walimuelewa, kwanini sio wengine?
Magufuli mwenyewe alikuwa anamezea mambo mengi ambayo hakuyapenda, hakujiuzulu, na ndiyo maana alipata nafasi ya kuwa rais.

Mimi baba yangu alimwambia Mkapa kuwa kubinafsisha mashirika ya umma ni makosa makubwa sana. Ilikuwa neno la ajabu kusemwa wazi, kwa sababu mawaziri wengi, akiwamo Magufuli, walikuwa wanafikiri hivyo, lakini hawakusema.

Kesho yake, Magufuli akampigia simu baba yangu, kumshukuru kwa kauli yake hiyo. Magufuli akasema kuwa baba yangu alisema maneno ambayo Magufuli alitaka kuyasema lakini hakuweza kuyasema.

Kwa hiyo hata huyo Magufuli alishindwa kujiuzulu, akafunga bakuli mwanaharamu apite, akaja kuwa rais.

Tanzania ukijiuzulu vibaya unaweza kuuawa.
 
Safi sana
 
kama kawaida kama dawa kitaifa tunashinda kwa kishindo lakini pia kimataifa tunashinda kwa kishindo vile vile aise dah!!

ama kwa hakika,
Mungu akiamua kukubariki hakuandikii barua 🐒

Thank You God For Your Blessings to Tanzanians internationally..
 
Rais Samia hajawahi fanya kampeni ya kidiplomasia akashindwa.

Alimtuma Ummy Mwalimu kuzunguka zaidi ya Nchi 15 Kupeleka ujumbe wa Rais kuomba kura za Ndugulile.

🇹🇿🇹🇿 Imeshinda.

View: https://www.instagram.com/p/C_Lz0F5tPCe/?igsh=MWVjbGZsd2g2YnJ1bg==
 
Tatizo hawana misimamo ya kujiuzuru kama mambo hayaendi vilivyo, mimi natoa mfano waziri magufuri kila wizara alio enda impact yake ilionekana na maraisi wote walimuelewa, kwanini sio wengine?
Magufuri unajua amekaa miundombinu Miaka 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…