Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Watu kama hawa ndio wanatakiwa wadumu kwenye wizara za afya na mambo yote yahusuyo wizara hiyo.

The richest man in tge babylon kitabu kile kinasema ili ufanikiwe ni lazima upate mtaalamu wa jambo hilo ndio afanye kwa ufanisi jambo hilo.
Sio kwa watanzania, kuna sumu ipo damuni mwetu, mtu ni mwalimu kwa taaluma, anapata nafasi ya kuongoza sekta ya elimu mfano, wizara ya elimu ama walimi(CWT) lakini anayoyatenda ni afadhali kuongozwa na mtu wa taaluma tofauti, sumu ya CHUKUA, Chako,, Mapema ni mbaya saana, sitaki kuamini wizara ya afya haijawahi ongozwa na mtu wa afya(daktari) kipi cha maana kilitendeka?
 
Hongera zake
 
Dr Mwele ni Boss wa Ndugulile nafikili ila yeye anadeal na magonjwa ya kuambukizwa duniani.
Dr Mwele alishatangulia mbele ya haki. Alipotoka Tanzania alienda kuwa Mkurugenzi fulani wa WHO Africa huko Brazaville kabla ya kuhamishiwa makao makuu ya WHO huko Geneva ambako ndiko mauti yalipomkutia
 
Yuko wapi dk ulisubisya mpoki
Alisaive maisha ya lissu mwendazake akamtumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…