Hizi si ngonjera za miaka yoteTayari Ndugulile ameeleza wazi kuwa vipaumbele vyake ni kuhakikisha Watu wanapata haki ya kupata huduma bora za afya, kuboresha utayari wa nchi za Afrika katika kukabiliana na majanga ya magonjwa ya mlipuko, kuimarisha uwajibikaji ndani ya WHO kanda ya Afrika pamoja na kuimarisha mawasiliano baina ya nchi wanachama katika masuala ya Afya.
Wewe ni imba imba kila kitu na kinachokusumbua ni ujinga ulionao kichwani na nakuhakikishia mpaka utazeeka na kufa hutaona uteuzi wowote Kwa ujinga wako.Wewe ni pinga pinga kila kitu.kinachokusumbua ni upeo mdogo ulionao .
Alikua mkatoliki,dada yake muislam,sasa akawa na agenda ya kuwabadili dini watoto wa dada yake,akaanza na mkubwa,ambaye ilishindikana,jamaa form four alipata three wakati ni kichwa kwelikweli,alimwambia unadhani ulifeli kweli,ni huo uislam unaoung'ang'ania, uislam utakusaidia nini wewe!?..jamaa kakomaa na imani yake hadi leo yupo kwenye miaka 50, maisha magumu,wadogi zake wawili wawili walibadili dini Ili wasomeshweMtu wa ajabu kivipi?
Lucas, ila tafuta kazi ya kufanya kama mwanaume ndugu tusiwe watu wa kujikomba kila saa utazeeka na hujatengeneza future yako na watoto wako!Wewe ni pinga pinga kila kitu.kinachokusumbua ni upeo mdogo ulionao .
Ahahahahaha! Si ajabu Cha Sugu kama Mwenyekiti wa Kanda wa Chadema ndio unakiona chenye tija! Ahahahahaha!Vyeo visivyo na tija. Sana sana ni cheo chenye faida kwake binafsi na familia yake.
Itakuwa Makonda kafurahi sanaaaaaaKwahiyo mama nae kapiga kura au kama kawaida yako mkuu? Kama kuna walio bubujika na machozi ya furaha tuambie pia.
Umeongea neno zito mnooo hapo ulipoandika kwa sababu za kimfumo.Watu wengi wenye uwezo wanashindwa kuwa na impact kwa sababu za kimfumo.
Sasa Waziri unataka kuweka impact kwa chanjo harafu rais Jiwe hataki chanjo, hapo utaletaje impact?
Sasa Waziri una madini kibao ya kuweka imoact lakini rais boya, na kila kitu kazima kipitishwe na rais, hapo Waziri akikosa impact utamlaumu?
Ndiyo hao wajanja wanaona hawawezi kuwa na impact ndani wanaenda kufanya kazi UN huko kutoa maagizo Afr8ka nzima yamewaruka marais wote.
Ipake rangi iwe nzuri.Roho mbaya haijengi ndugu mtanzania
Ndio manake.Huu ndo uchawi wenyewe
Labda kama alikuwa kwenye nafasi nyingine ila sio hii aliyoichukua Ndugulile.Nadhani kabla hajaenda Geneva kwenye hiyo position na mauti kumkutia hukohuko, alianzia WHO Africa tena huko huko DRC.
Hv kumbe alisanda sindo alitumbuliwa na Magu akiwa mkurugenzi wa NIMR badaye akateuliwa UN?Huyo si alikufa?
GACHAGUA the sixthkama kawaida kama dawa kitaifa tunashinda kwa kishindo lakini pia kimataifa tunashinda kwa kishindo vile vile aise dah!!
ama kwa hakika,
Mungu akiamua kukubariki hakuandikii barua 🐒
Thank You God For Your Blessings to Tanzanians internationally..
faceless king of nyeri can do anything in nyeri, but beyond nyeri, he is completely uselessGACHAGUA the sixth
Mwele alishafariki yeye alikua anadeal na cdc kama director! Au unahisi mwele yupo hai badoDr Mwele ni Boss wa Ndugulile nafikili ila yeye anadeal na magonjwa ya kuambukizwa duniani.
😄Mwele alishafariki yeye alikua anadeal na cdc kama director! Au unahisi mwele yupo hai bado
Jamaa ni technocrat kuliko mwanasiasa… na ndio maana hata ndani ya chama hakua kada mfawidhiNdugulile kama Ndugulile namkubali.
Alivyokuwa Teknolojia alikuwa na mipango mingi mizuri, halafu aliji mix vizuri na watu.
Hii position inahitaji mtu makini na itamfaa sana.
Unavyoona ndivyo nilivyoona mimi kuhusu jamaa kuwa technocrat.Jamaa ni technocrat kuliko mwanasiasa… na ndio maana hata ndani ya chama hakua kada mfawidhi
The position inamfaa kutokana na attributes hizo
The biggest challenge naiona kwake ni kuwa na team ya ushindi kwasababu sijui bureaucratic entities Kama WHO zinaruhisu innovation wakati kila kitu kiko driven na wanaowapa pesa
Masikini roho mbaya haijengiIpake rangi iwe nzuri.