Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali


hii ilikuwa 2014, sasa hivi ni 2023.
 
Mama anaishi kwa kutegemea misaada, huwezi kusikia anasema neno. Hata makamu wa rais anaishia kulialia makanisani tu huko kama muumini mwingine
Unataka mama afanye nn wakati aliyeingia hiyo mikataba yakuwageuza raia wa nchi hii kuwa machoko bado ni mkubwa wake?
Hapa ni sisi raia kupambana nalo tu iwe kimyakimya au kwa maandamano.
 
Marekani ulaya wapi hata uarabuni
Si kuna wabongo wanakwendaga madurai huko kuwafata mabwana zao

Ova
 
sijamuelewa mwakyembe,nini hasa anatafuta?
 
Mzee alipataje namba zao mpaka hao viongozi wa huo mtandao?
Maana nasikiaga kwamba hivi vyama vya siri kama "furiimathoni" huwezi kujua siri zao mpaka uwe mwanachama[emoji848]
 
Kuna vitu huwa vinanishangaza sana.

Mbona zipo media na wasanii kibao ambao ukiwasikiliza na kuwaona ni wazi wanapromote hizi issue kabisa na hao hao ndio wapiga kampeni wa chama kubwa na programes kibao za kussuport wanasiasa.

Leo hii kijana wa kiume anajiita chawa, vijana wengi leo hii wamegeuka wapambe wa watu hii nini maana yake?...

Moja ya vitu vitakavyoiangamiza Africa ni umasikini na watu kutoambiwa ukweli kwamba maisha yanakuja baada ya kufanya kazo kwa bidii.
Viongozi legelege nao wataiingiza Africa kwenye shida kwa tamaa ya kupata sifa, tamaa ya kuongoza kwa kutegemea misaada ya hao weupe bila kuwa na tone la akili ya kujitegemea.
 
Kipindi hicho magazeti ya udaku yameshika Kasi. Kill mtu anataka kusoma. Shigongo aliteka Sana soko na hadithi zake za kusisimua. Front page humkosi sinta,
Umenikumbusha Sinta "J lo wa Bongo"
Halafu kuna ile simulizi ilikuwa inaitwa Mkimbizi na nyingine Utata wa 9/10
 
Vijana wetu wamekuwa chawa aka wapambe wa vijana wa kiarabu na wahindi, ili maisha yao yaende lazima wawe karibu na hao wahindi na waarabu, wawasifie, wawatajetaje, wawaimbe nk..... Vijana ukiwa tajiri na viherahera basi wanakuganda na kujiita machawa lazima wabanduliwe sasa.

USA ameshajua udhaifu ulipo, "UMASIKINI NA UVIVU" hapo ndio anapenyea kwa kumwaga hela (mnofu), kijana anakaa tu maskani mwisho wa mwezi analipwa basi yeye ni kula bata tu weekend na mtoa hela ndio huyo basha..

Hii ni vita ya secret agency yetu, inapaswa kuipigana hii vita kwa siri kwa kucrackdown all underground operations na kuset mfumo wa malezi kwenye jamii kupitia pale Afya na ustawi wa jamii..
 
Hoja yako ni nini hapo?
 
Mienendo ya vijana maarufu wanaoitwa celebrity iangaliwe sana maana wengi ukiwaangalia pigo zao zinatia shaka kidogo.

Biashara nyingi za hawa celebrity vs uhalisia wa maisha yao niwakuangalia sana maana mwisho wa siku wanajamii wanataka kuwa kuishi kama wao matokeo yake no kunasa ndoano hasa wale vijana masikini waliokosa uelekeo.

Ukiangalia hawa wasanii siku nyingi kumekuwa na tuhuma za ushoga miongoni mwao zikisemwa na hakuna hatua zinazochukuliwa na wapo huru kufanya matamasha huku na kule.
 
Dar es Salaam unamkuta mshikaji yupo na mdada ukiamini pengine ni mpenzi wake kumbe wote wawili wanatafuta wanaume.

Nilikuwa maeneo siku moja nimeelewana demu fulani nikaanza kumnunulia pombe, ananiambia eti niko na rafiki yangu naye mnunulie pombe, kucheki ni mwanaume anaswaga sizielewi, nilimjibu straight sinunulii pombe wanaume kama vipi nawewe kaa mbali na mimi.
 
Acha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!
Usitumie nguvu humu kuna mashoga sasa ulitaka wacomment vipi? Hii ni vita bra kila mtu anavutia kwake ukiona comment negative kuhusu huu uzi usisumbuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…