boniuso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 786
- 1,043
Tujadili hoja yake ni sio tumjadili yeye.Mwakyembe sio wa kumwamini anataka kurudi siasani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujadili hoja yake ni sio tumjadili yeye.Mwakyembe sio wa kumwamini anataka kurudi siasani.
Ushuuda
2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard
2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi
Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah
Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari
Nikatishe story ili nisiwachoshe
Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba
Unaulizwa jina lako?
Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?
Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?
Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!
Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?
Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?
Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako
Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa
Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k
Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana
Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli
Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Wakati mashoga wapo na tunaishi nao,wengine kwenye media huko na mamiziki yao wamejaaa kedekedeBongo bhana mtu anakwambia ana taarifa harafu kakaa nazo nyumbani nilitegemea hiyo kauli ingetolewa na Polisi huku wakiwa na majibu sahihi sio hizo propaganda baadae hatutajua zimeishia wapi...
Unataka mama afanye nn wakati aliyeingia hiyo mikataba yakuwageuza raia wa nchi hii kuwa machoko bado ni mkubwa wake?Mama anaishi kwa kutegemea misaada, huwezi kusikia anasema neno. Hata makamu wa rais anaishia kulialia makanisani tu huko kama muumini mwingine
Marekani ulaya wapi hata uarabuniUkweli ni lazima uanikwe ili kulinusuru taifa letu. Naona Marekani na Ulaya wameamua kwa nguvu zote kupenyeza ajenda ya ushoga kwa nchi za Afrika. Haishangazi tunapoona nchi baadhi ya nchi za Kiafrika pia zikibadili misimamo na kuanza kutambua haki zao kupitia mihimuli ya mahakama.
Cha kushangaza ni kuwa pale Putin alipoweka wazi msimamo wake kuhusu kupinga matendo ya kishoga, Ulaya na Marekani wanafanya kila na kwa nguvu zote kutetea uchafu huu kwa kigezo cha haki za binadamu. Dr. Mwakwembe amefanya vyema ili kutoa tahadhari ya ukubwa wa tatizo kwa hivi sasa hapa nchini.
Ni jambo la kuogofya sana kuchukulia matokeo ya tatizo kubwa sugu kwa mtizamo hafifu wa kuwa kama dalili za tatizo hilo. Kama mtandao mkubwa upo hapa nchini tena unaendeshwa kwa mfumo unaoeleweka wa kiutawala na kimenejimenti, basi serikali itambue kuwa imechelewa sana kuchukua hatua stahiki.
Si ajabu katika madai ya Katiba Mpya yakatokea madai ya kutambua haki za LGBTIQA eti kwa kigezo kuwa nchi yetu iliridhia haki zao msingi ikiwa kama mojawapo ya nchi wanachama wa UN. Ni lazima tujiulize ni kwa nini Rais Museveni ameamua kukubali sheria kali ziwekwe dhidi ya ushoga na mashoga katika kipindi hiki? Huenda amepata taarifa ya "whistle brower" kama Dr. Mwakwembe na hatimaye kujiridhisha kuwa tatizo ni kubwa kuliko watu wengi wanavyolichukulia nchini mwake.
Makamu wa Rais wa Marekani anakuja hivi karibuni hapa nchini. Amini nawaambia pamoja na mambo mengine ni lazima ataligusia jambo hio. Na tunavyopenda misaada na wawekezaji wa kigeni nina hofu juu ya msimamo wa wazi wa viongozi dhidi ya ushetani huu.
Ukiwa na nia ya kupenda ushoga unatahadharishwa tu kuwa ni chukizo kwa Mungu na jamii.Duuh kumbe kubakwa ni ushoga, hii Mimi ndio Leo naisikia[emoji23][emoji23]
CCMKawajuaje
sijamuelewa mwakyembe,nini hasa anatafuta?Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR
----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini
Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana
Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo
Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka
"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto
Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke
Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi
Chanzo: Jambo TV
Mzee alipataje namba zao mpaka hao viongozi wa huo mtandao?Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR
----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini
Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana
Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo
Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka
"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto
Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke
Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi
Chanzo: Jambo TV
Umenikumbusha Sinta "J lo wa Bongo"Kipindi hicho magazeti ya udaku yameshika Kasi. Kill mtu anataka kusoma. Shigongo aliteka Sana soko na hadithi zake za kusisimua. Front page humkosi sinta,
Hoja yako ni nini hapo?Makonda alisema hivyo hivyo anawajua lakini mmarekani alipompa onyo na kumpa ban, hakuna aliyemtetea au kunyanyua mdomo wake, na aliishia kupoteza vyeo vyote vya kisiasa, nasubiri kitakacho mpata Museveni maana tayari kuna video kibao mitandaoni waganda wakiwachapa mashoga, Ruto naye alinyanyua mdomo against mashoga leo maandamano nchi nzima yalipotokea nobody knows
Dar es Salaam unamkuta mshikaji yupo na mdada ukiamini pengine ni mpenzi wake kumbe wote wawili wanatafuta wanaume.
Vip alichosema ni kweli au si kweli?Anatafuta kiki kama zile za Dudubaya baada ya kuona amekuwa irrelevant
Usitumie nguvu humu kuna mashoga sasa ulitaka wacomment vipi? Hii ni vita bra kila mtu anavutia kwake ukiona comment negative kuhusu huu uzi usisumbukeAcha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!