Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe.
Huyu mwakyembe anachofanya ni kazi ile ile ya KUTUMWA KU CREATE AWARENESS. ILO HATA WALE AMBAO HAWAKUA WANAJUA AU KUA NA TIME NA HIZI HABAR WAANZE KUJUMUIKA NA HATIMAE KUJIUNGA.
Mwakyembe anazid kumwaga oetrol kwenye moto anachochea kuni .

Imagine anazitaja taasisi zote hizo anazodai zina jihusisha na mambo haya na ANATAJA MPAKA DATA ZA IDADI YA HAO MASHOGA WAKIOTENGENEZWA .KAZITOA WAP KAMA SIO KAPEWA NA WENYE AGE DA YAO ILI KUONYESHA HILI NI SUALA AMBALO LIPO?????

SHENZI KABISAA MWAKYEMBE FIRAUNI WEWE
Watakapojua hilo, wamesha chelewaaa mnoo.
 
Nilichogundua kwa Mwakyembe ni kwamba anajipanga kurudi kwenye Game ya siasa na nnavyomjua jamaa yule keshaona fulsa ya kwamba Mama Analega sana yaani kiatu cha uraisi kinampwaya, anasaidiwa tu machawa wake na Team Msoga.

Tunaomba kupata cv ya mwakyembe sio ya shule hapana ya kwenye siasa alipatia wapi na alishabolonga wapi kwenye siasa ili tumpime.

Nakumbuka alishawai mwagiwa kama sio kulishwa tindikali kama sjakosea.
 
Sasa mambo ya kujichubua yanatoka wap hapa....

Sipendi mtu anatoa hoja zake...baada ya kujibu hoja mnaanza kushambuliwa muonekano wake na wengi wanaofanya hivyo wanafeel atacked so wanatumia defence ya muonekano, lafudhi, lugha kumdisqualify muongeaji...je mtu aliyejichubua hawezi kuwa mtafiti na akatoa hoja?
 
Yeye anasema amefanya utafiti ila anachoita utafiti hakikidhi hata viwango vya chini kabisa vya utafiti. Utafiti unaweza kupingwa hata bila kufanya utafiti kama haukufuata vigezo.

Mfano anapiga tu kelele hala ni mbaya sana sasa hivi lakini haonyeshi ni asilimia ngapi ya Watanzania ni mashoga, idadi ya mashoga imeongezekaje tangu uhuru au hata kwa kipindi cha miaka kumi tu iliyopita.
Wenzio wamefanya utafiti ndio wakayakuta hayo majibu
Wewe umefanya utafiti?
 
Hapo Kuna hoja gani ya kujadili?
Hoja ya Mwakyembe ilikuwa ni taasisi zinazoendesha zoezi la kufundisha vijana ushoga.
Badala ya kujadili hoja mnakuja na habari za kujichubua.
Ndio maana nikasema ubongo wa mashoga wote umejaa kinyesi, hii inatokana na kupigwa pampu kinyesi kinakuwa kinatoka tumboni kinapanda kichwani.
Hii ni kwa mujibu wa tafiti ya kisayansi
Acha ujinga wewe na huyo Mwakyembe wako, hakuna taasisi inayofundisha watu ushoga, ushoga haufundishwi,
Mnakuaje majinga kiasi hiki aiseee
 
Mwandishi uchwara kajichubua kiasi kwamba JUSO limekuwa jekundu kama TUZI YA PANYA.

Ukishajichubua tu unakuwa mentally retarded, na hata yote unayoyasema yanakuwa NULL AND VOID.

Uchunguzi uchwara wa BINTI MWENYE MKOROGO wakiongozana na KIRANJA WAKE ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Kwa uandishi huu,huyu ni Shoga.
 
Lazima tumsimange kwanza huyu Malaya wa buguruni aliyejifia na kujichokea kwa MIKOROGO anatuzuga ati yeye ni mwandishi!

Hapo alipo anasubiri kutwaliwa na israel akatoe hesabu za matendo yake ya kujikoboa JUSO kisha atupwe jehanamu.

Kumjadili maiti ni kupoteza wakati. Hana hoja ni mikorogo tupu ambayo imekatazwa na TFDA. Anapenyeza mikorogo nchini kwa njia za magendo. Amulikwe.
Msimamo wako upi sasa kwenye hii vita ya kupinga ushoga.

Anaweza akawa na shida kama ulizosema sawa , lakini sasa hebu tuambie unakubaliana nae kwenye vita ya mashoga, achana sijui kajichubua
 
Pamoja na hayo yote, mchunguzi gani kajikoboa kakoboka JUSO LIMEIVA ndembendembe kama TUZI YA PANYA?

Yeye mwenyewe kashajifia hapo alipo, kajimaliza kwa mikorogo — JUSO limehorojoka kama TUZI YA PANYA anasubiri kutwaliwa na ISRAEL akachomwe moto wa milele.

Nawaona watu wawili tu hapo, mmoja ni malaya wa buguruni aliyejichokea kwa mkorogo, na wa pili ni ZEE LILILOSTAAFU NA KUZEEKA KWA MARADHI SUGU likitiririsha udenda na kutuzuga linapambana na vinyesi.
Nyie jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitumie link ya hiyo video full
 
Mwandishi uchwara kajichubua kiasi kwamba JUSO limekuwa jekundu kama TUZI YA PANYA.

Ukishajichubua tu unakuwa mentally retarded, na hata yote unayoyasema yanakuwa NULL AND VOID.

Uchunguzi uchwara wa BINTI MWENYE MKOROGO wakiongozana na KIRANJA WAKE ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Kwa uandishi huu Mkuu inadhihirisha kabisa wewe ni wa aina gani kupitia uteuziwa maneno uliyotumia katika uandishi wako.
Tunasikitika kuona "Mlioleft" group la Kiumeni mmechukizwa taarifa ya Mwakyembe.
 
Mimi nadhani hatukupaswa kumshambulia mleta hoja bali kumuuliza au kujiuliza kuhusu uhusika wa hilo shirika THPS analoongoza Prof Janabi wa Muhimbili kama sikosei.
Jee ni kweli Janabi huyu tunaye muamini anaweza fanya hayo?
Kama ni hivyo usalama wetu na ndugu zetu ukoje tuwapo mikononi mwake kama Daktari?
Si unaweza kwenda kwa maradhi ya moyo ukatoka umepona lakini umegeuka shoga?
Hahahahahaha dah yaan unaenda kutibiwa Moyo unatoka umekua shoga [emoji1787]
Nyie watu hebu kuweni serious kidogo,
Hakuna shirika linawafundisha watu ushoga mngefatilia hayo mashirika yanafanya vipi kazi kabla hamjalishwa matango pori na nyie mkayatafuna
 
Jibu hoja,

Ni sayansi gani inayosema pafyumu inaongeza homoni? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3578]

Hii ni sayansi batili kutoka kwa MCHUNGUZI MWENYE MKOROGO aliyejikoboa juso kawa mwekundu kama TUZI.
Mkuu inadhihirisha unakiwango kidogo sana cha elimu hasa upande wa Sumu na Kemikali.
 
Ni swali la kujiuliza pia una ushuhuda wa watu wangapi waliogeuzwa mashoga kwa njia hii au ya pafyumu/spray au kuvunjwa uume kama mwandishi mchunguzi alivyosema katika uchunguzi wake.
Tuanzie hapa Jukwaani tu kama kuna mtu anamfahamu mtu yeyote aliyekuwa shoga kwa njia hizi.
Duuh,
Yaan Mtu kabisa anaenda kuvunjwa uume kwanza ushoga na kuvunjwa uume vinahusiana na nini jamani, mtu akivunjwa uume si anakua hanithi yaan hasimamishi, aliowaambia mashoga ni mahanithi ni akina nani,

Elimu kubwa inahitajika aiseee
 
Wenzio wamefanya utafiti ndio wakayakuta hayo majibu
Wewe umefanya utafiti?
Huo utafiti wao umeleta tija gani kwa taifa?
Watu wanalia hawana Umeme, maji, huduma za Afya mbovu, rushwa imetamalaki, tozo ndio usiseme ila mtu anatumia nguvu kubwa kutafiti mashoga halafu iweje sasa, hebu wewe nambie ushajua fulan ni shoga je unaongeza nini na kupunguza nini kwa maisha yako
 
Ila Mwakyembe ni kama sijamuelewa.

Ni kama ajenti
Ukimsoma kwa jicho la tatu ni kama amekuja kuwahadaa vijana eti wanajaza dodoso kisha linapelekwa Marekani, vijana wanaweza wakaingia tamaa ya kufika Marekani wakakutana na matapeli wakawafanyia vitu vya hovyo na huko Marekan wasifike sababu hakuna kitu cha namna hiyo, ati dodosa linaenda Marekani [emoji1787]
 
Back
Top Bottom