mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Hukusikia idadi ya mashoga na wasagaji waliotengenezwa kwa kuhudumiwa na hizo taasisi?Yeye anasema amafanya utafiti ila anachoita utafiti hakikidhi hata viwango vya chini kabisa vya utafiti. Utafiti unaweza kupingwa hata bila kufanya utafiti kama haukufuata vigezo.
Mfano anapiga tu kelele hala ni mbaya sana sasa hivi lakini haonyeshi ni asilimia ngapi ya Watanzania ni mashoga, idadi ya mashoga imeongezekaje tangu uhuru au hata kwa kipindi cha miaka kumi tu iliyopita.
Mbona kaweka wazi?