Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sahihi kabisa, hili lifanyike mbele ya tume huru ya wataalamu wa biology na afya.
Kama vipi awalete hao mashoga walotengenezwa waje watoe ushuhuda tuone ni kivipi hao watu hawakuwa mashoga wakawa trained hadi wakawa mashoga!! Maana Bongo wanasiasa wakiona kitu kinavuma sana na wao wanapitia humo humo!