Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Hakuna aliyekataa ushoga ulikuwepo Tangu zamani ,tena ulikuwepo zaman sana kabla ya Quran na bibilia ku-exist lakini haufanyi kuwa ni natural Wala kitu Cha kawaida.Unaona sasa unavyojikanganya? Unajua hata maana ya LGBTQ? hizo herufi zinaconvince vipi mtu akubali Ushoga??
Unajua hata maana ya Ushoga?
It's ok being gay ndio mtoto kafundishwa kua shoga?
Kuna topic ya Reproduction je inafundisha Watoto kunjunjana?
Braza hakuna Mtu anafundishwa kua Shoga wala Msagaji, pia ni ujinga kuwasingizia Wazungu kua wanafundisha Ushoga na Usagaji wakati kwenye vitabu vyenu vya Dini wamezungumziwa ina maana walikuwepo, hata hapa tunaona watu wanawakumbuka sijui Anti nani, Anti nani mashoga wale wa miaka ile nao walifundishwa na nani?
LGBTQ activists ambao ndio hao wazungu tunawalaumu kwa Sababu wao wanashupalia tukipokee kitu ambacho tulikikataa Tangu zamani,hata kabla ya bibilia na Quran ushoga ulikuwa unatambulika kama ni kitendo Cha kishetani si Cha kawaida.
Kumuambia mtoto Kuna aina nyingine ya mahusihano ya mwanaume kwa mwanaume na it's ok tayari huku ni kumfundisha ,
#Kataaushoga