Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Unaona sasa unavyojikanganya? Unajua hata maana ya LGBTQ? hizo herufi zinaconvince vipi mtu akubali Ushoga??
Unajua hata maana ya Ushoga?

It's ok being gay ndio mtoto kafundishwa kua shoga?
Kuna topic ya Reproduction je inafundisha Watoto kunjunjana?

Braza hakuna Mtu anafundishwa kua Shoga wala Msagaji, pia ni ujinga kuwasingizia Wazungu kua wanafundisha Ushoga na Usagaji wakati kwenye vitabu vyenu vya Dini wamezungumziwa ina maana walikuwepo, hata hapa tunaona watu wanawakumbuka sijui Anti nani, Anti nani mashoga wale wa miaka ile nao walifundishwa na nani?
Hakuna aliyekataa ushoga ulikuwepo Tangu zamani ,tena ulikuwepo zaman sana kabla ya Quran na bibilia ku-exist lakini haufanyi kuwa ni natural Wala kitu Cha kawaida.

LGBTQ activists ambao ndio hao wazungu tunawalaumu kwa Sababu wao wanashupalia tukipokee kitu ambacho tulikikataa Tangu zamani,hata kabla ya bibilia na Quran ushoga ulikuwa unatambulika kama ni kitendo Cha kishetani si Cha kawaida.

Kumuambia mtoto Kuna aina nyingine ya mahusihano ya mwanaume kwa mwanaume na it's ok tayari huku ni kumfundisha ,

#Kataaushoga
 
Unaona sasa unavyojikanganya? Unajua hata maana ya LGBTQ? hizo herufi zinaconvince vipi mtu akubali Ushoga??
Unajua hata maana ya Ushoga?

It's ok being gay ndio mtoto kafundishwa kua shoga?
Kuna topic ya Reproduction je inafundisha Watoto kunjunjana?

Braza hakuna Mtu anafundishwa kua Shoga wala Msagaji, pia ni ujinga kuwasingizia Wazungu kua wanafundisha Ushoga na Usagaji wakati kwenye vitabu vyenu vya Dini wamezungumziwa ina maana walikuwepo, hata hapa tunaona watu wanawakumbuka sijui Anti nani, Anti nani mashoga wale wa miaka ile nao walifundishwa na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nachekaaa mnooo yaan.
 
Ukweli utabaki pale pale kwamba ni tabia zinazosikitisha sana...
Na uzinzi na umalayaaaa pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna husemiiii, tenaa UMALAYA kwa herufi kubwaaa.
 
Dah!
Na wewe ni Baba wa Familia na Watoto wako wanajivunia kua na Baba anayeamini ujinga kama huo[emoji28]

Na wale wa hekaya za Sodoma na Gomora mnaowa refer kila siku waliwekewa kwenye mkate au maji ya kunywa? Hadi wakaanza kupapasana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu mule wametiririka Yale waliyoyaona kwenye hizo taasisi hadi mwenzio BICHWA KOMWE akaanza kutetea eti walikuwa wanafanyiwa utafiti.
Chuo Kikuu cha Muhimbili kimefanya sana tafiti kuhusu homosexuality kwa madhumuni ya kitaaluma pamoja na ukusanyaji wa data.

Ndio maana unaona hayo MADODOSO ama RESEARCH QUESTIONNAIRES ambazo zinapaswa kujibiwa na wahusika wenyewe ambao ni homosexuals.

Ni tafiti za kawaida sana, ambazo zina dhamira ya kuvuna taarifa za msingi kuhusu ushoga nchini pamoja na kuzifanyia hypothesis za kisayansi IF NEED BE — Environmental, cultural, biological and social factors combined to form a scientific HYPOTHESIS.

Nyie mamburulazz mkiongozwa na KIRANJA WENU ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE mnaingizwa chaka sana.

Hakunaga kiwanda cha kutengeneza mashoga. Hakunaga hiyo BAKERY.
 
Chief Mwakyembe yuko sahihi ni juzi tu nimepata taarifa za mdada wa mtaani yupo kwenye hayo mafunzo na hivi leo jamaa walimjia na Cruiser yao kitaani nikachoka yaaaani.
Kwenye mafunzo ya usagaji?
 
Chuo Kikuu cha Muhimbili kimefanya sana tafiti kuhusu homosexuality kwa madhumuni ya kitaaluma pamoja na ukusanyaji wa data.

Ndio maana unaona hayo MADODOSO ama RESEARCH QUESTIONNAIRES ambazo zinapaswa kujibiwa na wahusika wenyewe ambao ni homosexuals.

Ni tafiti za kawaida sana, ambazo zina dhambira ya kuvuna taarifa za msingi kuhusu ushoga nchini pamoja na kuzifanyia hypothesis za kisayansi IF NEED BE — Environmental, cultural and social factors combined to form a scientific HYPOTHESIS.

Nyie mamburulazz mkiongozwa na KIRANJA WENU ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE mnaingizwa chaka sana.

Hakunaga kiwanda cha kutengeneza mashoga. Hakunaga hiyo BAKERY.
Basi sawa hakuna hyo Bakery, Twambie basi wewe ilikuaje mpka ukawa bwabwa ? Ulitengenezwa na nn mpka ukawa hvo?
 
Ushoga naamini ni Tabia mtu aliyojifunza, kwa kuelewa akiwa na akili timamu Au kwa kutokuelewa akiwa mdogo, na akiwa mkubwa anakuwa anaona ni kawaida, maana amefundishwa jambo akiwa hajui maana yake.
Kwa watoto ulaghai au kubakwa na watu wanaoyajua hayo mambo au watoto wanaojua tayar kuwapa ushawishi wasiojua.
Kifupi ushoga unafundishwa. Kwa force(kubakwa Au ulaghai/ushawishi) hii ni zaidi kwa watoto. Kwa watu wazima ni ulaghai tu kwa kutumia pesa n.k.

Tuwalinde watoto wetu huku ndio chanzo cha yote. Hakuna natural cause ya haya maushoga.
 
Si wamtajee huyo mzungu, wanaogopa nn kumtajaaa??
Km sio unafikiii???
Hakuna cha mzungu hapo, stori za kusadikika hizi.

Mchunguzi kavimbisha vitako vyake kama NUKTA FAKTI anajizungurusha kwenye screen anatuonesha jinsi mashoga "wanavyotengenzwa" kwa kutumia PAFYUMU.
 
Jee ni kweli Janabi huyu tunaye muamini anaweza fanya hayo?
Kama ni hivyo usalama wetu na ndugu zetu ukoje tuwapo mikononi mwake kama Daktari?
Si unaweza kwenda kwa maradhi ya moyo ukatoka umepona lakini umegeuka shoga?
Dah!..we jamaa wewe...
 
Mtu "unatengenezwaje" kuwa shoga?
Tukianzia hapa JF, kuna mtu amewahi kukutana na mtu "aliyetengezwa" kuwa shoga? Kuna mtu amewahi kujaribiwa "kutengenezwa" kuwa shoga?

Kulikuwa na mashoga wangapi kabla ya hawa waliotengenezwa na hizi taasisi ili tupime ukubwa na ukuaji wa tatizo kama kweli hili ni tatizo.
Ndio wanatengenezwa inategemea utafafsiri vipi kutengeneza kama unadhani kama linavyotengenezwa gari it's ok.

Lakini LGBTQ society wanaanza kudili na mtoto mdogo kuwafundisha Kuna jinsia Zaid mbili na mwanaume na mwanaume wanaweza kuwa wapenzi and it's ok
 
Umeacha hoja nzuri unakimbilia personal attack,
Mkiwa mnajadili mambo kama haya hadharani hakikisheni akili zenu zinachaji msikurupuke tu na kudhani wote ni wale wale
Wewe si ushajisema msagaji mkongwe kwa hyo najua kifua chako kimejaa apo ulipo ..!
 
Aseme tu wengine tungejuaje kumbe hii nchi Ina mambo ya Ajabu hivi ama kweli Siku za mwisho zimewadia kabisa
 
Back
Top Bottom