Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Ushoga ni tatizo kama matatizo mengine uliyoyataja hapo.Jibu hoja acha kujibinua binua,
Ushoga unakukosesha umeme na Maji?, unakukosesha huduma bora za Afya? Unakukosesha Ajira na kujiajiri? Maisha yako magumu yanasababishwa na Ushoga?
Huwezi kuacha kupambana na Ushoga kwasbabu eu umeme na maji shida.
It's not ok being gay
,#Kataaushoga