Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Huyo mzungu kafaulu pakubwa sana, hadi jf watu wanaharisha uharo ambao hata fb jukwaa lililoonekana kuwa la watoto hawawezi kutoa ushuzi unaotolewa na watu wanaojiita eti ma great thinker [emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mbwa dume na wanyama wengine wanaohasiwa huwa wanageuka kuwa mashoga?? Niko tayari kujifunza.
Umeshawekewa dawa za kulevya na kupandikiziwa homone za ushoga, pia wamekupelekea moto bila ya kujijua ila ukishtuka tu tayari ushakuwa senge.

Nini usichoelewa hapo?

Au unakataa kwamba madawa ya kulevya hayajaathiri Watu wengi tu na kujikuta wakifanyiwa wasivyopenda ikiwemo kuf**wa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba uwe bashaa wangu, maana unanipendaa sanaaa lol.
[emoji1784][emoji2961]
JamiiForums212693510.jpg
 
Childish
Umeshawekewa dawa za kulevya na kupandikiziwa homone za ushoga, pia wamekupelekea moto bila ya kujijua ila ukishtuka tu tayari ushakuwa senge.

Nini usichoelewa hapo?

Au unakataa kwamba madawa ya kulevya hayajaathiri Watu wengi tu na kujikuta wakifanyiwa wasivyopenda ikiwemo kuf**wa?
 
Mwakyembe USAID ikimfungulia mashitaka ndiyo ataelewa kuwa hajui. Ni aibu kwa mtu wa sheria, tena msomi kama yeye, kutoa maneno bila ushahidi. Mama Samia, deal na watu kama hawa wanaotaka kukuchonganisha na jumuiya za kimataifa.
Mwakiembe ni mwanasheria mbobezi ,anajua anachokfanya,na hawez kuongea bila kua na ushahid mzur na ulio jitosheleza ,labda ww ulio jawa na hofu na mashaka Ila hawana pa kumpeleka

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
cocastic unasema mwakiembe ndio ana majibu yote, hamuoni kuwa anawaharibia mambo yenu anaposema anaujua mtandao wenu kuanzia ngazi ya juu mpaka chini, je siku akiwataja hamtaona kwamba anawadhalilisha au mtafurahia jamii kuwafahamu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] TCRA wamefunga mtandao mkubwa na pendwa wa LGBTQ bongo, wamechelewaaa,

Wenzao wapo ktk chimbo lingine wanatambaaa tyuuuhh
Na sahivi wanatambaaa kwa VPN tyuuh.

Watakamataa wapiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama wanaume mmeamua kugeuzana mi nifanyeje mkuu? Mtajua wenyewe mi nafurahia tu show...ukisikia kuna ambao wanapenda kupigwa chabo nishtue nikawatizame.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwandishi uchwara kajichubua kiasi kwamba JUSO limekuwa jekundu kama TUZI YA PANYA.

Ukishajichubua tu unakuwa mentally retarded, na hata yote unayoyasema yanakuwa NULL AND VOID.

Uchunguzi uchwara wa BINTI MWENYE MKOROGO wakiongozana na KIRANJA WAKE ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
Mbona umevurugwa Sana? Shirika lako limetajwa?
 
Ushuuda

2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard
Nashangaa uliwezaje kuulizwa ujinga na ww unajbu !! Eti siku nikiingiliwa nitajiskiaje? Na kama nitaendelea kuingiliwa? Na kama nataka kuingiliwa au kuingilia? Nakuapia SKU iyo iyo nngeenda segerea maana nngempiga ngum moja inaitwa cut out...ambayo ukipgwa unazmia masaa 72 unapumua Kwa mbali sana
 
بسم اللہ الرحمن الرحيم



•••TANABAHI NA HAYA.....
SERIES FROM VOICE OF THE VOICELESS
SHEIKH TAWAKKAL HUSSAYN!
Series No. {141}.

""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""


[emoji91] DR. HARRISON MWAKYEMBE; UMEPAZA SAUTI KUWA UNAZIJUA TAASISI ZINAZOINGIZA WATANZANIA KATIKA USHOGA..... [emoji91]


[emoji673] UKIWA KAMA DAKTARI WA SHERIA; NINI KIFANYIKE? JE ZILISAJILIWA KWA AJILI YA USHOGA? [emoji672]
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°


Mpenzi Msomaji; Awali ya yote, nichukue fursa hii kumpongeza Daktari Harrison Mwakyembe kwa uthubutu wa kupaza sauti hadharani kiasi naona anaandikwa huku na kule kwenye baadhi ya 'forums' kuwa Mwakyembe avunja ukimya, aamua kujilipua..!
Ni kujilipua kwa kweli, inahitaji 'Rijaali' asiyejali kunako haki kusema mambo kama haya ambayo yanahitaji uthubutu hasa!

[emoji3580] Kumbe Dr. Mwakyembe sisi tunaopiga makelele jamaa hawa wanatuchora tu! Wamejipanga vizuri! Wanatusanifu tu kama ile ya watasema mchana usiku watalala!

[emoji3580] Daktari Mwakyembe; ni yepi majibu kwa mdadisi mmoja hivi anayejiuliza; ni nani hasa lakini yupo nyuma ya pazia ya Ufirauni huu? Pesa za kushawishi watu na kuwaingiza katika ubaradhuli huu hawa jamaa wanazipatia wapi? Zinaingiaje hapa nchini? Je hizi sio pesa chafu? Kwa mila, desturi, Sheria zetu....pesa hizi zina tofauti gani na pesa za ugaidi?

[emoji3580] Je tukimjua au tunamjua anayesaidia, anayefadhili uchoko tunaweza kumfungia kweli paka kengele au tutaingia mitini au tutaingia katika hadithi ya paka na samaki ya kuwa paka wanapenda samaki lakini hawapendi kuloanisha kucha zao!

[emoji3580] Mheshimiwa Mwakyembe ukiwa kama daktari wa Sheria unaishauri nini mamlaka inayosajili taasisi juu ya taasisi hizo? Je bado zina sifa kisheria ya kuendelea au zinatakiwa kufutwa mara moja?! Nataraji katika kuendelea kwako kupaza sauti dhidi ya 'Udajjaali huu' tutapata kusikia tena ukipaza sauti Mheshimiwa!

[emoji3580] Ikiwa itajulikana kuwa mfadhili wa shughuli hizi chafu ni bwana mkubwa ambaye anapopiga tu chafya, sisi huku tunaugua kabisa wala hatupatwi na mafua tu hatari yake ni kubwa! Hapa ndipo ninapowaonea sana huruma maraisi walioamua kulaani hadharani na hata kusaini miswada dhidi ya mambo haya ya Sodoma na Gomora.

[emoji3580] Nasema hivi kwa sababu kama vile nahisi mnyama mwenye namba "sittu miatin wasittatun wasittuuna" anakuja vibaya safari hii!
Bila shaka tutapaza sauti hata dhidi ya uzinzi, udada poa; vyote hivi vinamchukiza Allaah ['Azza Wajalla]!

[emoji3580] Huko kwenye 'forums' mbalimbali yameandikwa mengi kufuatia kauli yako Mheshimiwa, mengine yanatafakurisha! Kuna mtu ameandika kuwa kinachofurahisha zaidi kwenye hili sakata la ushoga na mashoga;.
Miaka kadhaa iliyopita hapa mtaani kwetu tulikuwa tunaongopeana kwamba haya mambo ni ya Waarabu na Waislamu.

[emoji3580] Hatimae muda wa kuwajua wenye mali yao umefika sasa, Dunia nzima inafahamu ni baba la mababa na wadogo zake! Ni chuki za Wazungu dhidi ya Waarabu na dini ya Kiislamu!

[emoji3580] Mwingine akasema kuwa kwa sasa wanaojiremba wapo, na wagumu pia wapo. Unaweza mtizama mtu ukasema huyu kidume cha 'miraba saba' kumbe dooh, papai. Huku likikariri neno choko mara kadhaa! Sasa hivi wengi hawajirembi, unakuta mtu ni 'body builder' lakini anapitiwa vile vile!

[emoji3580] Mwingine amenitafakurisha sana. Huyu alisema; 'sometimes' kuna baadhi ya taarifa zinaleakigi kwa manufaa zaidi unaweza kuta 'system' imevujisha makusudi kuliokoa taifa....vitu huwa 'planned' hawakurupuki!

[emoji3580] Mpenzi msomaji; ushoga ni jambo ambalo limelaanika katika Shari'ah ya Allaah ['Azza Wajalla] ndani ya vitabu vyote alivyoteremsha Allaah [Tabaaraka Wata'alaa] iwe ni Zabuur, Taurat, Injili na Qur'aan.

[emoji3580] Yatosha Ushoga kuwa ni dhambi mbaya sana katika mlolongo wa makosa au maasi na dhambi za wanaadam na adhabu walizoadhibiwa katika zama mbalimbali hakuna adhabu mbaya waliyoadhibiwa wanaadam kama Adhabu ya Ushoga ambapo Ardhi ya Mashoga ilimegwa ikageuzwa juu chini halafu ikashindiliwa kwa Mvua ya Moto!

[emoji3580] Hata lugha tu yaani kuendea 'Kinyume na Maumbile', inatosha kuonesha kuwa jambo hili ni baya sana na lina madhara makubwa kimwili na kiroho!
Jambo hili ni moja kati ya sababu kubwa zinazopelekea wanaume kupoteza sifa ya uwanaume na hii maana yake, jambo hili likiachiwa ndoa zitakufa na kizazi kitakoma!
Bali ushoga ni moja katika ya sababu kubwa za kuenea magonjwa kama vile UKIMWI n.k!

[emoji3580] Ni hili jambo la Kinyume na Maumbile ndiyo utasikia lugha ya visaidizi kama wese, futa, kilainishi! Hiyo ni sehemu ya haja kubwa! Haijaumbwa kwa ajili ya hili wala haiwezi kuhimili jambo hili!

[emoji3580] Mpenzi msomaji, kwa sasa ushoga kama uzinzi ulivyoanza kisirisiri na kutoka katika usirisiri unaenda beneti au sanjari na kukaribiana na uzinzi!
Takwimu zinaonesha kuwa Ushoga unaenea haraka sana duniani na kwa kiwango cha kutisha!

[emoji3580] Takwimu zinaonesha kuwa Marekani peke yake kwa sasa ina mashoga wanaokadiriwa kufikia kati ya milioni kumi (10,000,000) hadi milioni kumi na saba (17,000,000), ambapo kuna hadi kuna 'Makanisa na Mahekalu' maalumu kwa ajili ya kuwaozesha mashoga!

[emoji3580] Mji wa Los Angeles peke yake unakadiriwa kuwa na mashoga laki tatu (300,000) na ushee! Kuna idadi kubwa ya mashoga ikihusisha hadi Maaskofu katika miji ya New York, Chicago, London, Paris, Amsterdam na sehemu nyingine nyingi!

[emoji3580] Mpenzi msomaji; hali ya kuenea ushoga ni mbaya, tena mizizi yake ya kihistoria ni mibaya kiasi mwaka 1970 kuna askofu alitunga kitabu akielezea ndanimwe kuwa hata Yesu alikuwa shoga! Ndugu zetu katika damu wala hawakuhamaki sana!

[emoji3580] Sasa hivi hadi kuna Vyuo Vikuu ambavyo vinatoa 'Scholarships' maalumu au za upendeleo kwa mashoga, jambo hili linaenda mbali zaidi hadi katika ahadi za kampeni za uchaguzi kama alivyojikuta Rais Obama wakati ule, ambapo alilazimika kwenda na sera ya kuwatetea mashoga, sio yeye tu bali wako wengi!

[emoji3580] Mpenzi msomaji; kutoka katika mashoga kubananishwa kisirisiri tena kwenye sehemu chafu kama vyooni 'dirty closet Practice' mwanajeshi mmoja wa Kiyahudi katika jeshi la Marekani, aliamua kabisa kuandika bango waziwazi kuwa yeye ni shoga, kazi ilianzia hapo kati ya mwenye kupinga na mwenye kukubaliana na yeye, leo hii mashoga sio watu wa kujificha tena wanahudhuria hadi katika misiba, hapa maeneo ninayoishi walikuja katika msiba na wakakaa na wanawake bila soni wala aibu yoyote!


[emoji3487] Sasa Dr. Mwakyembe ametutajia kuwa jambo hili wenyewe wamejipanga, langu ni kuwa kama tutanyamaza na kuridhia uchafu huu, siku Adhabu ya Allaah ikija itatumaliza sote! Kwa bahati mbaya Adhabu ya Qaumu Luutw imeahidiwa kuwa itawapata watu wowote wanaofanya kama vile hadi 'Siku ya Qiyaamah'! [emoji3485]


[emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597]
[emoji617] NI RUKSA KUSAMBAZA MAKALA HIZI KATIKA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII BILA KUBADILISHA CHOCHOTE ILI FAIDA IWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI NAWE UTAPATA MALIPO KUTOKA KWA ALLAAH IN SHAA ALLAAH. [emoji617]
[emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597][emoji3597]

07. RAMADHWAAN. 1444 HIJRIYYAH
29. MARCH. 2023 MIILADIYYAH


[emoji91] [[SHEIKH TAWAKKAL HUSSAYN]] [emoji91]

Kwa maoni, nasaha juu ya masuala mbali mbali ya kidini na maswali mbali mbali, ushauri;
🪀: +255659722396.
[emoji3513]: +255686465552.

Barua pepe; tawakkalhusayn@gmail.com



Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom