Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa4. Je agenda ya ushoga imekuja kufifisha madai ya msingi ya wananchi na kuficha madhaifu makubwa ya Serikali awamu ya sita
Hebu soma kwa sauti hicho ulichoandika halafu jipige kifua mara 3 na kutamka maneno haya "MIMI ZACHT NI MJINGA"Ushoga ni tatizo kama matatizo mengine uliyoyataja hapo.
Huwezi kuacha kupambana na Ushoga kwasbabu eu umeme na maji shida.
It's not ok being gay
,#Kataaushoga
Mtu akishawekewa madawa na kuingiliwa kinyume na maumbile tayari anakua shoga [emoji15]Umeshawekewa dawa za kulevya na kupandikiziwa homone za ushoga, pia wamekupelekea moto bila ya kujijua ila ukishtuka tu tayari ushakuwa senge.
Nini usichoelewa hapo?
Au unakataa kwamba madawa ya kulevya hayajaathiri Watu wengi tu na kujikuta wakifanyiwa wasivyopenda ikiwemo kuf**wa?
Nakubaliana na Wewe na hatakwenye Tasnia ya Burudan kuna wabunge na wanamuziki nliambiwa yaani sikuamini macho yanguSerikalini wamejaa kibao!
Ushahidi gani?Yote hayo lazima yafanywe na huyu huyu mtafiti wa ushoga unavyopandikizwa kwa wingi na hao Mabeberu au watafiti wengine wamekufa?
Bado Mashoga mnatapa tapa tu kumshambulia mtafiti bila ya kupangua hoja zake kiushahidi.
Unaelewa nini kuhusu Ushoga?Acha ujinga basi wewe, kama waliweza kutengeneza chakula ambacho kinafanya Me aote matiti, wanashindwa vipi kupandikiza virusi vya homone imbalance ili Me awe shoga?
Haiwezekani Mtu kama Mwakyembe anapotosha na kudanganya umma kisha anyamaziwe hilo haliwezekani, kalishwa matango pori kajaa upepo kaja kuharibuKwa jinsi Dr. Harrison Mwakyembe na Mwandishi wake walivyoshambuliwa nimegundua kuwa huu mtandao wa ushoga na usagaji una washirika lukuki na tayari umeshaota mizizi.
Ni kweli upo sahihi ndio maana nikiona wajinga wanapotosha kuhusu kitu ninachokijua lazima niseme ukweli,Wewe sihitaji hata kuandika chochote kukueleza, maana wewe ni certified homosexuality. Labda nikupe pole tu.
YapJay melody?
📌📌📌Nimeshindwa kusoma. Maandishi kwa rangi ya blue iliyopooza yanashindwa kuonekana vizuri. Mods tunaomba msaada ili wote tuweze kusoma..
Ahsaante.
Sijasema ww msagaji ila unafagilia haya mambo ya madume kugeuzana wasagaji wanajulikana laivUniweke wazi kwamba mimi ni msagaji? Ha haaa ndugu unafurahisha.
Njoo nikugee ndo utajua kama mimi ni msagaji au la.
Dah!
Na wewe ni Baba wa Familia na Watoto wako wanajivunia kua na Baba anayeamini ujinga kama huo[emoji28]
Na wale wa hekaya za Sodoma na Gomora mnaowa refer kila siku waliwekewa kwenye mkate au maji ya kunywa? Hadi wakaanza kupapasana
Muone na huyu maskini,Wazungu hawatupendi sana wa-africa ,lengo lao tuishe wote ili waje kukaa bara hili liliobarikiwa kila aina ya resources.
Kwahiyo wanainduce ushoga barani ,wazungu wana plan za muda mrefu sana wanaweza hata kuwa na plan ya miaka hata 50 huko mbele ,kwa mujibu wa hiyo report ya huyo dada ,hadi sasa ninavyoandika ilitakiwa huyo mzungu na wakeze kina noel wapo lupango.