Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Jibu hoja acha kujibinua binua,
Ushoga unakukosesha umeme na Maji?, unakukosesha huduma bora za Afya? Unakukosesha Ajira na kujiajiri? Maisha yako magumu yanasababishwa na Ushoga?
Ushoga ni tatizo kama matatizo mengine uliyoyataja hapo.

Huwezi kuacha kupambana na Ushoga kwasbabu eu umeme na maji shida.

It's not ok being gay

,#Kataaushoga
 
Hakuna cha mzungu hapo, stori za kusadikika hizi.

Mchunguzi kavimbisha vitako vyake kama NUKTA FAKTI anajizungurusha kwenye screen anatuonesha jinsi mashoga "wanavyotengenzwa" kwa kutumia PAFYUMU.
Mkuu acha kupondea uumbaji wa huyo dada. Ni mrembo na ni jasiri, tafiti zake mara nyingi huwa ni zenye tija japo kweli kwa huu utafiti wao na mwakyembe mmmh bado sijauelewa!
 
Tanzania haijawahi kuwa na mafunzo yoyote shuleni kuhusu ushoga ila mashoga wamekuwepo kwa miongo kadhaa hata kabla ya harakati na culture wars za magharibi. Nina uhakika wazee wangi wa pwani ambako masuala ya ngono sio kificho sana ukiwauliza watakuambia enzi za ujana wao walikuwa wanawaona na wanawajua mashoga.
Ndio wanatengenezwa inategemea utafafsiri vipi kutengeneza kama unadhani kama linavyotengenezwa gari it's ok.

Lakini LGBTQ society wanaanza kudili na mtoto mdogo kuwafundisha Kuna jinsia Zaid mbili na mwanaume na mwanaume wanaweza kuwa wapenzi and it's ok
 
Mwakyembe angetufunulia kile kitabu tuthibitishe kweli wanafundishwa hivyo?!
 
cocastic hebu tuthibitishie we ni shoga au msagaji, mbona maoni yako yanaonesha we ni mwanamke, kwa nini unafurahia ushoga, au we ni mwanachama wa chama chenu kinachojumuisha wasagaji na mashog? Tafadhali tufafanulie ili tupate maswali ya kukuuliza
Mwakyembee ndo ana majibu yoteee hadi katoa press, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heko nyingi sana kwako Harrison na Catherine. Mmefanya kazi kubwa sana. Serikali jamani sasa mnapakuanzia. Hali mitaani ni tete sana. Vijana wanaharibika mno.
Hawa ni mashujaa katika hii vita,Huyo dada nimemkubali ni jasiri sana,tuwaunge mkono kwenye haya mapambano
 
Nahisi harufu ya upinde Kutoka Kwa mtoa mada[emoji4]
JamiiForums2022137350.jpg
 
Sasa mambo ya kujichubua yanatoka wap hapa....

Sipendi mtu anatoa hoja zake...baada ya kujibu hoja mnaanza kushambuliwa muonekano wake na wengi wanaofanya hivyo wanafeel atacked so wanatumia defence ya muonekano, lafudhi, lugha kumdisqualify muongeaji...je mtu aliyejichubua hawezi kuwa mtafiti na akatoa hoja?
Mtoa mada ni mtu dhaifu sana
 
Hapo Kuna hoja gani ya kujadili?
Hoja ya Mwakyembe ilikuwa ni taasisi zinazoendesha zoezi la kufundisha vijana ushoga.
Badala ya kujadili hoja mnakuja na habari za kujichubua.
Ndio maana nikasema ubongo wa mashoga wote umejaa kinyesi, hii inatokana na kupigwa pampu kinyesi kinakuwa kinatoka tumboni kinapanda kichwani.
Hii ni kwa mujibu wa tafiti ya kisayansi
 
Kuna maswali kadhaa ambayo yaliibuka katika hicho kikao cha Mwakyembe ambayo ningependa kupata ufafanuzi kuelewa zaidi walichokiwasilisha kwa jamii yeye na mtafiti wake.
Mtoa mada
Nenda kwenye point
Lengo hasa la Uzi wako ni nini
 
Wewe ulivyozaliwa ulitaka uingize/uingizwe wapi?

Hii inahitaji uchunguzi sio majibu mepesi, kwa mfano utafiti unaweza kufanyika kwa kuanzia na watu wa kawaida na wengine kama masheikh na mapadri waliokamatwa kwa ulawiti, wanaweza kuwauliza walifundishwa au walijisikia tu wenyewe kulawiti watoto wa kiume au wanaume waliowahi kuwalawiti wagoni wao. Walipataje hizo hisia?
Utafiti kwamba walijisikiaje?! Labda afanyiwe mwanao na wewe ili majibu yawe yenye kuridhisha na uache ubishi.
 
Hapo Kuna hoja gani ya kujadili?
Hoja ya Mwakyembe ilikuwa ni taasisi zinazoendesha zoezi la kufundisha vijana ushoga.
Badala ya kujadili hoja mnakuja na habari za kujichubua.
Ndio maana nikasema ubongo wa mashoga wote umejaa kinyesi, hii inatokana na kupigwa pampu kinyesi kinakuwa kinatoka tumboni kinapanda kichwani.
Hii ni kwa mujibu wa tafiti ya kisayansi
Kwa jinsi Dr. Harrison Mwakyembe na Mwandishi wake walivyoshambuliwa nimegundua kuwa huu mtandao wa ushoga na usagaji una washirika lukuki na tayari umeshaota mizizi.
 
Back
Top Bottom