Hukusikia idadi ya mashoga na wasagaji waliotengenezwa kwa kuhudumiwa na hizo taasisi?Yeye anasema amafanya utafiti ila anachoita utafiti hakikidhi hata viwango vya chini kabisa vya utafiti. Utafiti unaweza kupingwa hata bila kufanya utafiti kama haukufuata vigezo.
Mfano anapiga tu kelele hala ni mbaya sana sasa hivi lakini haonyeshi ni asilimia ngapi ya Watanzania ni mashoga, idadi ya mashoga imeongezekaje tangu uhuru au hata kwa kipindi cha miaka kumi tu iliyopita.
Hebu tuambie ni sumu gani hiyo inayopandisha homoni za mtu kua shoga [emoji101]Mkuu inadhihirisha unakiwango kidogo sana cha elimu hasa upande wa Sumu na Kemikali.
Agenda ya ushoga sio ndogo wewe. Fungua macho kabla hujastukia una mtoto au mdogo wako shoga. Halafu mwakyembe na yule dada pale walikua kwenye platform ya kidini/ kanisa. Utafoti wao umewasilishwa kwenye semina ya kidini.Nimejaribu kutafakari taarifa ya Mwakyembe siielewi.
1. Ni mbinu zipi alizotumia kubaini hawa mashoga, serikali haikuweza?
2. Ana mantiki gani kuja hadharani kujimwabafai yeyé kama yeyé. Kwanini asingeyapeleka hayo majina mapema. Kimyakimya.?
3. Nilitegemea nisikie akisema alishawasilsha majina muda mrefu lakini hayajafanyiwa Kazi.
4. Je agenda ya ushoga imekuja kufifisha madai ya msingi ya wananchi na kuficha madhaifu makubwa ya Serikali awamu ya sita?
Duuh,
Yaan Mtu kabisa anaenda kuvunjwa uume kwanza ushoga na kuvunjwa uume vinahusiana na nini jamani, mtu akivunjwa uume si anakua hanithi yaan hasimamishi, aliowaambia mashoga ni mahanithi ni akina nani,
Elimu kubwa inahitajika aiseee
inaonekana we si shoga bali ni msagaji unaounga mkono ushoga, je ni kweli au si kweli? Kama ni mfuatiliaji wa mambo yenu ya ushoga, unaonaje tanzania nayo ikaiga uganda katika mapambano dhidi ya ushoga?Muulize mwakyembeee anawajuaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona Mwakyembe kawatoa machoko shimoniHuo utafiti wao umeleta tija gani kwa taifa?
Watu wanalia hawana Umeme, maji, huduma za Afya mbovu, rushwa imetamalaki, tozo ndio usiseme ila mtu anatumia nguvu kubwa kutafiti mashoga halafu iweje sasa, hebu wewe nambie ushajua fulan ni shoga je unaongeza nini na kupunguza nini kwa maisha yako
Mmh jamani Dunia imeisha hii had shetan anakaa pembeniUsafiiiii, usafiii, usafiii.
Watu wananyonyaa hadi na kuingiza ulimi ndani ya kinyeoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza ukawa usifundishe kama tunavyofundishwa masomo ya kawaida dalasani au isiwe kwa Njia ya Moja kwa Moja.Acha ujinga wewe na huyo Mwakyembe wako, hakuna taasisi inayofundisha watu ushoga, ushoga haufundishwi,
Mnakuaje majinga kiasi hiki aiseee
je mtu aliyejichubua hawezi kuwa mtafiti na akatoa hoja?
Wewe utakuwa ki8ngozi wa mashoga.Umelipwq kuja kufanya retaliationAliyeleta ajenda amejipambanua kama mwanahabari wa habari za uchunguzi. Mimi wanahabari wa habari za uchunguzi huwa nawaona ni watu wenye akili sana na uelewa mpana wa mambo, sasa yeye kama anajinasibu hivyo halafu anashindwa kuelewa jambo dogo kama hili la kujichubua kwa kitaulo inanipa mashaka sana kuamini na kutilia maanani huu uchunguzi wake, simuoni kama mtu credible.
Hebu tuambie ni sumu gani hiyo inayopandisha homoni za mtu kua shoga [emoji101]
HahahaaAcha ujinga wewe na huyo Mwakyembe wako, hakuna taasisi inayofundisha watu ushoga, ushoga haufundishwi,
Mnakuaje majinga kiasi hiki aiseee
Inatisha sana,Huyu mwandishi anazungumza kwa bashasha sana hizi pseudoscience zake katika hili suala kuibua hisia za raia. Sijajua lengo lake ni nini, ila watu wa aina hii wakiachwa kutamba katika jamii tutakuwa jamii ya hovyo sana inayoamini mambo ya ajabu ajabu yaliyo nje ya uhalisia kabisa.
Hukusikia idadi ya mashoga na wasagaji waliotengenezwa kwa kuhudumiwa na hizo taasisi?
Mbona kaweka wazi?
Kama vipi awalete hao mashoga walotengenezwa waje watoe ushuhuda tuone ni kivipi hao watu hawakuwa mashoga wakawa trained hadi wakawa mashoga!! Maana Bongo wanasiasa wakiona kitu kinavuma sana na wao wanapitia humo humo!Hukusikia idadi ya mashoga na wasagaji waliotengenezwa kwa kuhudumiwa na hizo taasisi?
Mbona kaweka wazi?
Hahaha, we sema yote, lakini huyo mwandishi uchwara aliyejisiliba mikorogo usoni lazima tumsimange kweri kwerii.Kwa uandishi huu,huyu ni Shoga.
Jibu hoja acha kujibinua binua,Naona Mwakyembe kawatoa machoko shimoni
Ikibidi ingieni barabarani na mabango kuonesha Mwakyembe kaingilia haki zenu za msingi na mmekasirishwa sanaa