Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Sahihi kabisa, hili lifanyike mbele ya tume huru ya wataalamu wa biology na afya.
Kama vipi awalete hao mashoga walotengenezwa waje watoe ushuhuda tuone ni kivipi hao watu hawakuwa mashoga wakawa trained hadi wakawa mashoga!! Maana Bongo wanasiasa wakiona kitu kinavuma sana na wao wanapitia humo humo!
 
Jengeni hoja na siyo kutukana..,mbona mnakuwa wakali na wenye lugha kali kama vile mmeguswa.., najuwa hata hapa jukwaani wapo waliolengwa na hilo jiwe lililorushwa gizani.
 
Nyie jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitumie link ya hiyo video full
Hahaha ngoja niitafute.

Haka kamwandishi kamevimba matako kamejikoboa haswaa, kapo na screen kubwa kanaonesha jinsi mashoga "wanavyotengenezwa" kwa kutumia PAFYUMU. [emoji1787][emoji1787][emoji3578][emoji3578]
 
Ila kama ulisikiliza vizuri ile clip unaweza juwa wanatengenezwaje., wanatumia vitu kama mswaki na dawa ya meno, nguo na perfume. The way unavyotumia unajikuta unakuwa na hisia za kike, yaani kuna mda unatamani kupapaswa, kushikwashikwa na wao nahis wanapozigawa hizo products wanakuwa na records za waliogawiwa ili baada ya mda flan wanafuatilia kujuwa wamewawin wangapi.
 

Unaona sasa unavyojikanganya? Unajua hata maana ya LGBTQ? hizo herufi zinaconvince vipi mtu akubali Ushoga??
Unajua hata maana ya Ushoga?

It's ok being gay ndio mtoto kafundishwa kua shoga?
Kuna topic ya Reproduction je inafundisha Watoto kunjunjana?

Braza hakuna Mtu anafundishwa kua Shoga wala Msagaji, pia ni ujinga kuwasingizia Wazungu kua wanafundisha Ushoga na Usagaji wakati kwenye vitabu vyenu vya Dini wamezungumziwa ina maana walikuwepo, hata hapa tunaona watu wanawakumbuka sijui Anti nani, Anti nani mashoga wale wa miaka ile nao walifundishwa na nani?
 
MASHOGA MASAGAJI MMEANZA KUCHUKIA UKWELI WA KAMATI YA MWAKYEMBE... Mwanaume unaanzaje kutetea ushoga lazima utakua umetoka kwenye familia ya mashoga
 
inaonekana we si shoga bali ni msagaji unaounga mkono ushoga, je ni kweli au si kweli? Kama ni mfuatiliaji wa mambo yenu ya ushoga, unaonaje tanzania nayo ikaiga uganda katika mapambano dhidi ya ushoga?
Suala la kuiga kuhusu Uganda, nadhani serikali ndo inajua ifanye kwa kutumia namna ipi. Ila kwa mtazamo wangu sio sahihi kwa Uganda.
 
cocastic hebu tuthibitishie we ni shoga au msagaji, mbona maoni yako yanaonesha we ni mwanamke, kwa nini unafurahia ushoga, au we ni mwanachama wa chama chenu kinachojumuisha wasagaji na mashog? Tafadhali tufafanulie ili tupate maswali ya kukuuliza
 
Hahahaa

Hivi Shirika linatengenezaje mashoga? KIVIPI? HOW?

You need to be very foolish to comprehend the propaganda!
Hao ndio wale wanaodhani Mashoga ni Species fulani hivi kwa hiyo ukiiua itatoweka, wanajisahau kua wao ndio wanawazaa [emoji28] as long as watu wanazaa basi kila aina itazaliwa.
 
wanatumia vitu kama mswaki na dawa ya meno, nguo na perfume. The way unavyotumia unajikuta unakuwa na hisia za kike, yaani kuna mda unatamani kupapaswa,.

Wewe bwana acha porojo. Hauwezi kuwa shoga kwa kutumia PAFYUMU.

Kama unabisha kachukue hiyo pafyumu ujipulizie tuone kama utaanza kuwashwa kinyeo.
 
Sahihi kabisa, hili lifanyike mbele ya tume huru ya wataalamu wa biology na afya.
Kweli kabisa! La sivyo wanatuacha na taharuki pasipo kuelewa chochote. Maana hayo mashirika yapo na tunayaona hadi mahospitalini. Mfano **** wanahusika na mambo ya afya na ninahisi wanafanya kazi kwa kushirikiana na serikali, hapa inakuwaje sasa wanafundisha ushoga? Watuletee ushuhuda tujionee kama makonda alivyowapelekaga wahanga wa madawa ya kulevya wakakiri mbele ya kadamnasi. Mwakyembe nae afanye hivyo.
 
Ndio hapa jf wapo
Rudi kwenye uzi unaohusu hii ishu ya Mwakyembe.
Kuna watu mule wametiririka Yale waliyoyaona kwenye hizo taasisi hadi mwenzio BICHWA KOMWE akaanza kutetea eti walikuwa wanafanyiwa utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…