Wanasema Wazungu wanataka tupotee wote halafu wao waje kuishi Africa sababu Africa kuna resources nyingi wanazitaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Nimewauliza pia wale Mashoga wa Sodoma na Gomora Wazungu nao waliwapa Dawa za Meno na Perfumes?
Wameishia kutukana [emoji28]
Kheee! mapya yanafunguka kumbe mwanahabari na yeye ni blender akaamua kuwasagia kunguni wenzie [emoji28]Umenifungua macho kumbe kulikuwa na Viongozi wa dini Wengi?
Mwakyembe ni agent WA Taasisi moja ya kidini.....
Lakini Vile vile huyo dada aliechora tattoo inasemekana ni lesbian maarufu na alikuwa na tattoo ya mbunge mmoja viti maalum kaifuta...
Halafu kama ni toka mwaka 2016 yeye Mwakyembe alishindwa nini kuja na hizo sheria alipokuwa waziri wa sheria??....why makelele now??
Acha kujinyongesha na wewe, sipendi watu wanaojitilisha huruma bila sababu hiyo 'maskini' haipo hapo kama hali bali imetumika kama kivumishi, (umehurumiwa) sasa mambo ya utajiri, hewa yametoka wapi? Kama upo soft heart kaa mbali na mijadala ya hivi, utapata presha shauri zako,
Wewe huwezi kunipa mimi ushauri nipo jf tangu mwaka 2014, ushauri wako ukurudie wewe mwenyewe mimi sihitaji kujitilisha huruma ili nionekane mchangiaji bora, nachangia kulingana na mada,
Fyi, boss wangu mwenyewe ni mzungu usiniambie kuhusu ngozi nyeupe nawajua vema,
Umeulizwa swali jepesi sana kati ya Wazungu na Weusi ni wakina nani wanajazana kwenda kwa wengine? Unasema eti Weupe wakija hawataki kurudi lol wangapi hao si tungekua tunapishana nao kila pembe kama sie tulivyojazana kwao,
Endelea kujifariji lakini ni nzuri kwa Afya yako ya Akili [emoji847]
Jamaa n wewe ni mwanaupinde Nini?....mbna unamshambulia huyu dada wakat aliyosema yanaonekana kweny jamii zetu kipnd hiki?Utakuwaje mtafiti umejikoboa juso lote limeiva kama TUZI YA PANYA?
Kwanza anaonekana ni MENTALLY RETARDED, kwa sababu huwezi kuwa na akili timamu ukajisindika makemikali kwenye juso lako. Hata huo utafiti wake umejengwa juu ya MENTAL INCAPACITY, hence NULL AND VOID.
Angeanza kwanza kutafiti mikorogo anayotumia kabla ya kujisindika na kujikoboa juso lote ndembendembe jekundu nduuu nduuu!!!
Huyu hana utafiti wowote ule, ni kahaba limeokotwa BUGURUNI MALAPA ili kutuzuga watanganyika kwa hadithi za kusadikika.
Anatikisa vikalio vyake viko kama NUKTA FAKTI anajizungurusha huku anawasha screen eti anaonyesha picha ya mzungu!
Hilo swali wanaulizwa kila siku wanaishia kuwataja watu maarufu ambao nao ni hearsay tu, huwezi ukasema fulan ni shoga kama yeye hajajisema,Mkuu waulize swali moja tu la msingi; ni nani humu ndani anamjua shoga hata mmoja tu personally achana na hawa wa mitandaoni? Watu wanaua nzi kwa nyundo kwenye hii ishu. Wanatumia nguvu kubwa kupambana na a non-existent issue wakati mambo ya msingi yapo kibao ya kujadili yanayomgusa kila mmoja.
Hivi wewe unajielewa kweli?
Mabaunsa wanatumia dawa za kutumisha misuli baadae wanakua mashoga unajisikia hata unachokiandika?
Nipe maana ya Ushoga kwanza ili nijue kama una uelewa au ndio wale wale wa vijiwe vya kahawa na kubet
"Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?"This is far-fetched.
Kwanza ijulikane estrogen (female hormone) hata wanaume wanazo naturally and vyakula vya Kila siku vina ongeza estrogen kwa wanaume na bado wengi tu sio mashoga. Haiwezekani a one time dosage tena ya toothpaste na perfume imfanye mtu awe shoga. Haiwezekani. Halafu wewe mwanaume na ndevu zako unakubali zawadi ya perfume na toothpaste kweli? It will take a truckload of it kumgeuza mtu awe shoga.
Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?
Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No more, no less. Msikimbie majukumu yenu. Mashoga wengi wameanza hii michezo majumbani mwao sio shuleni wala sehemu nyingine.
Kila research Ina agenda yake sijui huyu dada agenda yake ni ipi. Itakua kasoma upepo kaona mitanganyika inapenda story za ushoga kajiongeza.
Kwani hata huyo mwakyembee?? Alivyowaharibu wanafunzi wa Udom?? Mwingne si yupo UVCCM palee,Kheee! mapya yanafunguka kumbe mwanahabari na yeye ni blender akaamua kuwasagia kunguni wenzie [emoji28]
BICHWA KOMWEE
Yoda
cocastic
Mkuje mkuje
Nani kakulazimisha uwe shoga?Sasa kama wewe hautaki kushauriwa mbona na wewe unalazimisha watu waamini unachoongea? Itoshe kusema kila mtu abaki na misimamo yake...Kama wewe unaamini katika ushoga endelea kuamini Ushoga na usillazimishe watu wazibuliwe mitaro ila sisi tunaoamini kwamba ushoga siyo sawa unapawa kukemewa tunaendelea na hiyo misimamo.
Mimi siyo mnyonge ndiyo maana nimepata Guts za kukujibu ,ningekuwa mnyonge nisingeweza hata kuanza mikiki na wewe,mimi nia bandidu siwezi kuwa heartbroken na trollers wa JF.
Wanajazana kivipi ,ulishwahi kufanya utafiti waafrica wangapi wapo bara la ulaya na wazungu/ngozi nyeupe wangapi wapo bara la africa? Kisha angalia % yao kisha ulete majibu ,hatutaki nadharia tu za vijiweni ,wewe ulishawahi kuwa mzungu huko bara la ulaya ukaona unapishana na waafrica wangapi? Sasa kama unakaa Buza utapishana na wazungu wapi? Ushawahi kukaa Prime areas africa? Ushawahi kwenda Migawaha iiyopo prime areas? Wateja wa pale ni watu wa aina gani? Kila sehemu kuwa na watu wa aina fulani na ndiyo maana ukienda DC Washington blacks ni wa kuwatafuta. ...Ungekuwa unakaa Obay au masaki ungekuwa unapishana na wazungu daily.
Aweeee, kumbe ana makando kando yake yake [emoji15]Kwani hata huyo mwakyembee?? Alivyowaharibu wanafunzi wa Udom?? Mwingne si yupo UVCCM palee,
Kwan yeye hajui hilo? atulie km hapati bottom kisa uzee wake, akae kwa kutulia tyuuh. Lol
Toka huko kwenye vikao vya kubet unapotezwa vibayaNajielewa sana wew mtetea mashoga LBGT ,mimi nazungumzia Mashoga Mabaunsa nimekuwa specific siwazungumzii nyie mashoga wakoboaji.
Wanadai mara oooh...Dada wa Watu kajichubua, mara oooh! Uchunguzi wao ni batili.Wenye enjio zenu zenye ma sponsa huko nje mmekuja kwa Kasi sanaa kumshambilia dada wa watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan alivokua anaongea, unajua kabisa yeye ni mdau, anajisafisha na hana chembe ya utakatifu. Lol.Aweeee, kumbe ana makando kando yake yake [emoji15]
Kuna mtu kamblackmail nini akaona ajiwahi kujisafisha kabla file halijawekwa mezani [emoji23]
Wapo tele! Yaan hata ukiambiwa fulani nae pelo... hutaaminiNakubaliana na Wewe na hatakwenye Tasnia ya Burudan kuna wabunge na wanamuziki nliambiwa yaani sikuamini macho yangu
Hapo sasa shangaa wee.Ushoga ni mbaya na ni chukizo kwa Mungu....
Ila swali, mwanaume akiamua kutoa tako lake, mi nafanyaje?
Niite press? Tako lake, mazara yake, inanihusu nini?