Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Sasa ndo utashangaa viongozi wa Kenya, hupigwa spana na bila kujali viongozi hujitokeza kujibu mapigo ya spana live yani.
Rais wa Kenya Ruto ,Wakenya walimbatiza majina ya kasongo yeye, Zakayo e bwana siku Ruto akaenda live

Kwanza akasema awekewe mziki wa Kasongo yeye , akacheza na badae akajibu mapigo ya Zakayo kwa kusema akiitwa Zakayo ni sawa ilihali Kenya inaenda mbele, akaongeza kwamba bora Zakayo alimuona live Yesu wakati wengine wanasikia tu.

Tangu kipindi kile izo kauli zimekufa zenyewe.

Viongozi wa tz wanatakiwa jifunza siasa za Kenya
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
huyu mzee mmjinga kweli yaaani rais lazima aende kwenye misiba yote? kikwete kawakilisha tatizo nini ? mzee mzima kama huyu kuwa mjinga ni kitu cha ajabusana kutokea hapa duniani inaonyesha jinsi chadema wasivyo na wazee wakuwashauri wana vizee vyenye matatizo ya akili
 
Wewe ni profesa nani vile?
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
Ukiwa kiongozi,usipende kusifiwa tuu,wakati mwingi wanaokusifia wanakuingiza chaka la nyoka mwenye sumu Kali!
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Ugonjwa wa Akili nao kutukautazame!
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Kwa hiyo mwanao akikamatwa kuwa mwizi na wewe waje wakuunganishe wakuchome.
Umetumia akili za makalio kufikiri sijui kama una mtoto hata wa kusingiziwa
 
Aache kikao cha kamati kuu ya CCM aende msibani?
Anadhabi kikao cha kamati kuu ya CCM ni sawa na cha Chadema?

Pili msiba wenyewe ulikuwa vurugu tupu

Ndugu wa Profesa Sarungi walikuwa hawataki azikwe Dar wanataka akazikwe kwao na wamesema wanaenda mahakamani ili mwiili ufukuliwe ukazikwe kwao Utegi ,Mara.
Misiba ya hovyo kama hoyo huyu babu anataka Raisi aende?
Acha mawazo ya visasi,hii sio busara unachoshauri!
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
Kuna siku chache hapa zilizopita, waziri wa elimu Dr. Mkenda, alikuwa anataka kuonana na rais nasikia kuna kikundi cha wafitini hapo ikulu kilimzuia.

Ile kitu ilinitafakarisha sana,ina maana kuna watu wanajeuri ya kumzuia waziri wa wizara nyeti kama elimu kuonana na rais,mjumbe wa baraza la mawaziri anayeshiriki vikao vya siri vya ikulu anastopishwa mlangoni ni akina nani hawa ambao wana jeuri na nguvu ya kujiamulia nje namna protocol inavyotaka?

Kama wanainchi inabidi tujitafakari sana namna tunaachia sehemu nyeti za maamuzi kuweka watu wa hovyo wasio na weledi kiutendaji. Na pia tuzirejee sheria zetu za utumishi wa Uma ili ziwekewe mkazo zaidi na tutunge sheria kali zinazowajibisha watendaji wa hovyo wenye nia na dhamira mbaya kwenye taifa.
 
Kwa hiyo mwanao akikamatwa kuwa mwizi na wewe waje wakuunganishe wakuchome.
Umetumia akili za makalio kufikiri sijui kama una mtoto hata wa kusingiziwa
Huyu nae hajielewi mkuu,mwanaume mzima anajiita mama Samia,huu ni ugonjwa hata uchawa una afadhali!
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Tumia akili kidogo. Yule mzee ni mtumishi wa serikali mstaafu aliyeshika nyadhifa kubwa sana hapa inchini.

Anatakiwa kuzikwa kwa heshima za kiserikali na viongozi wote wakuu wa serikali wanatakiwa kutuma salamu za rambirambi hata kama walikuwa na personal issues.

Yule mzee amemkosea nini kwani na mtu alishajizeekea na umri umeshakwenda na ana heshima zake kwenye historia ya inchi?🤔

Huyu bi mkubwa ni mzinguaji period,hiki alichofanya sio uungwana,ni kosa kimaadili kama mtumishi wa jamuhuri,lakini zaidi kijamii watanzania hatunaga hizi mbaga za kuwekeana vinyongo kwa mambo madogo hadi nyakati za matatizo.
 
Aache kikao cha kamati kuu ya CCM aende msibani?
Anadhabi kikao cha kamati kuu ya CCM ni sawa na cha Chadema?

Pili msiba wenyewe ulikuwa vurugu tupu

Ndugu wa Profesa Sarungi walikuwa hawataki azikwe Dar wanataka akazikwe kwao na wamesema wanaenda mahakamani ili mwiili ufukuliwe ukazikwe kwao Utegi ,Mara.
Misiba ya hovyo kama hoyo huyu babu anataka Raisi aende?
Prof. Sarungi alipaswa kuzikwa Utegi Rorya.

Prof. ni icon ya ukoo

Alipaswa kuzikwa nyumbani kwenye makaburi ya familia
 
Back
Top Bottom