TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

Nanukuu

""""Shida ya Pombe inanisababisha nilie kama mtoto na huwa inanikumbusha na misiba iliyopita"""

Issue Mimi nikigusaga alcohol kidogo nakuaga very serious sanaa na mara kadhaa nimewai kuambiwa wew mkaka mbona unatuangalia sanaa kumbe Mimi hata siangalii hata mtu pia hata nikichekeshwa sicheki.....

Ni Kweli ukiwa emotional sanaaa pombe inaweza kukufanya kuangua kilio na kulia sanaaaaaaa
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Mwenyezi Mungu msamehe dhambi zake na amjaalie makazi mema peponi.
 
Duuh kifo hakizoeleki!
 
Ila ile kauli ya kulazimisha Serikali iingie mikataba ya kununua umeme wa Dowans vinginevyo taifa litaingia latika giza kwa kipindi kisichojulikana (tena akiwa bungeni), ilimvua nguo!
Ilikua ni uwongo kwamba taifa halitoingia guzani umeme wa dowans usiponunuliwa!?
 
RIP mzee wetu Msabaha. Utamaduni wa kiungwana uliishia katika utawala wa awamu ya 4 kwa watu kung'atuka.

Mzee Msabaha ulionesha njia kwa kujiuzulu yadhifa ya uwaziri, utamaduni ambao sasa ni mgumu kufanyika, hatuelewi tatizo ni nini viongozi hawataki kujiuzulu.
 
Alikuwa mtu muungwana sana
Waungwana wanaisha wanabaki wapiga vuvuzela watu dizain ya Makonda kina Makamba huyo Nape hamna kitu.

Binadamu tuna mwisho wetu lakini ninapoona wazee wanaondoka huwa nasikitika sana,last week nilipokea habari za msiba wa mzee mmoja kijijini kwetu tukimtegemea sana kwa mambo mbalimbali nilisikia uchungu sana maana wazee wanaondoka huku tunaobaki aged 40s tukiwa hatuwezi kujiongoza vizuri kutokana na dunia yetu kujaa ukisasa.

Nawaza siku hakuna wazee itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…