TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

Mimi sio Daktari ila kwasababu mimi mwenyewe nilishauriwa na Mtaalamu wa mambo ya Saikolojia MIMI👈 huwa zinanisaidia sana nipatapo habari za Msiba mzito.

Shida ya Pombe inanisababisha nilie kama mtoto na huwa inanikumbusha na misiba iliyopita.

Pombe ni tamu wakati wa furaha kama siku ya kumuapisha raisi kutoka Upinzani nitaogelea kwenye pipa la Ulanzi.🤤
Nanukuu

""""Shida ya Pombe inanisababisha nilie kama mtoto na huwa inanikumbusha na misiba iliyopita"""

Issue Mimi nikigusaga alcohol kidogo nakuaga very serious sanaa na mara kadhaa nimewai kuambiwa wew mkaka mbona unatuangalia sanaa kumbe Mimi hata siangalii hata mtu pia hata nikichekeshwa sicheki.....

Ni Kweli ukiwa emotional sanaaa pombe inaweza kukufanya kuangua kilio na kulia sanaaaaaaa
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Mwenyezi Mungu msamehe dhambi zake na amjaalie makazi mema peponi.
 
Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri.

Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward Lowassa. Msabaha alijiuzulu uwaziri wa Afrika Mashariki mwaka 2008 pamoja na Nazir Karamagi aliyepokea mikoba ya wizara ya nishati kutoka kwa Ibrahim Msabaha kutokana na kashfa ya Richmond.

===============
FORMER MINISTER DR. IBRAHIM MSABAHA DIES AT 72​
Former Minister of Energy and Minerals, Dr. Ibrahim Msabaha, has passed away on February 13, 2024, at the age of 72, while on the way from his home in Masaki, Dar es Salaam, to Muhimbili National Hospital.

His Sister, Pili Msabaha, confirmed his demise, noting his prolonged illness and frequent hospital visits.

Dr. Msabaha also served as the Minister of East African Cooperation and Member of Parliament for Kibaha Constituency
Duuh kifo hakizoeleki!
 
Ila ile kauli ya kulazimisha Serikali iingie mikataba ya kununua umeme wa Dowans vinginevyo taifa litaingia latika giza kwa kipindi kisichojulikana (tena akiwa bungeni), ilimvua nguo!
Ilikua ni uwongo kwamba taifa halitoingia guzani umeme wa dowans usiponunuliwa!?
 
RIP mzee wetu Msabaha. Utamaduni wa kiungwana uliishia katika utawala wa awamu ya 4 kwa watu kung'atuka.

Mzee Msabaha ulionesha njia kwa kujiuzulu yadhifa ya uwaziri, utamaduni ambao sasa ni mgumu kufanyika, hatuelewi tatizo ni nini viongozi hawataki kujiuzulu.
 
Alikuwa mtu muungwana sana
Waungwana wanaisha wanabaki wapiga vuvuzela watu dizain ya Makonda kina Makamba huyo Nape hamna kitu.

Binadamu tuna mwisho wetu lakini ninapoona wazee wanaondoka huwa nasikitika sana,last week nilipokea habari za msiba wa mzee mmoja kijijini kwetu tukimtegemea sana kwa mambo mbalimbali nilisikia uchungu sana maana wazee wanaondoka huku tunaobaki aged 40s tukiwa hatuwezi kujiongoza vizuri kutokana na dunia yetu kujaa ukisasa.

Nawaza siku hakuna wazee itakuwaje?
 
Back
Top Bottom