Basi Rostam, Bashe, Jerry sla , Sofia simba nao..Kwenye tamaduni zetu Chifu huwa haondoki peke yake. Lazima anasindikizwa. (S)
RIP Mzee wa Bangusilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Rostam, Bashe, Jerry sla , Sofia simba nao..Kwenye tamaduni zetu Chifu huwa haondoki peke yake. Lazima anasindikizwa. (S)
RIP Mzee wa Bangusilo.
Uzee banaSevere heat alert 🚨
Cardiovascular 🫀 huwa haifanyi masihara na mtu !
NanukuuMimi sio Daktari ila kwasababu mimi mwenyewe nilishauriwa na Mtaalamu wa mambo ya Saikolojia MIMI👈 huwa zinanisaidia sana nipatapo habari za Msiba mzito.
Shida ya Pombe inanisababisha nilie kama mtoto na huwa inanikumbusha na misiba iliyopita.
Pombe ni tamu wakati wa furaha kama siku ya kumuapisha raisi kutoka Upinzani nitaogelea kwenye pipa la Ulanzi.🤤
"Bado vigogo watano watakufa,Tena vigogo wenye majina yao"nabii Boniface victor unyakuo tv YouTube!!2024 mwaka wa mavuno.
Duh; ngoja niisake."Bado vigogo watano watakufa,Tena vigogo wenye majina yao"nabii Boniface victor unyakuo tv YouTube!!
Hiyo ya Leo hiyo!!Duh; ngoja niisake.
Inawezekana kabisa!!Au kitu ya mchina imerudi kimya kimya?
Kitu ya Mchina mbona ipo kitambo haijawahi kuisha ,mbona zanzibar wanatoa statistics zake.Au kitu ya mchina imerudi kimya kimya?
Duuh kifo hakizoeleki!Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri.
Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward Lowassa. Msabaha alijiuzulu uwaziri wa Afrika Mashariki mwaka 2008 pamoja na Nazir Karamagi aliyepokea mikoba ya wizara ya nishati kutoka kwa Ibrahim Msabaha kutokana na kashfa ya Richmond.
===============Former Minister of Energy and Minerals, Dr. Ibrahim Msabaha, has passed away on February 13, 2024, at the age of 72, while on the way from his home in Masaki, Dar es Salaam, to Muhimbili National Hospital.
FORMER MINISTER DR. IBRAHIM MSABAHA DIES AT 72
His Sister, Pili Msabaha, confirmed his demise, noting his prolonged illness and frequent hospital visits.
Dr. Msabaha also served as the Minister of East African Cooperation and Member of Parliament for Kibaha Constituency
Ilikua ni uwongo kwamba taifa halitoingia guzani umeme wa dowans usiponunuliwa!?Ila ile kauli ya kulazimisha Serikali iingie mikataba ya kununua umeme wa Dowans vinginevyo taifa litaingia latika giza kwa kipindi kisichojulikana (tena akiwa bungeni), ilimvua nguo!
Naloli,makaburi kila Mahali.Malaika mtoa roho yupo kazini, wanasiasa mashuhuri wanapukutika mmoja baada ya mwingine.
#Tukujonga #jumojumo.
Waungwana wanaisha wanabaki wapiga vuvuzela watu dizain ya Makonda kina Makamba huyo Nape hamna kitu.Alikuwa mtu muungwana sana
Watabiri wa mabaya tu,mazuri hawatabiri,Kama mwaka wa mavuno mengi nk"Bado vigogo watano watakufa,Tena vigogo wenye majina yao"nabii Boniface victor unyakuo tv YouTube!!
Duh!!!Kitu ya Mchina mbona ipo kitambo haijawahi kuisha ,mbona zanzibar wanatoa statistics zake.