Dkt. Jakaya Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais Samia Kwenda Kwa Rais Wa Comoro

Kikwete ni mwanadiplomasia mama amuweke karibu zaidi.
Kikwete ni mwanajeshi, na rais mstaafu. Anatakiwa awe mstaafu wa kuwa anaombwa ushauri, siyo yeye ndiye awe active waziri wa mambo ya nje kivuli wa kuchonga trip. Miaka 20 ya trip za nje alizofanya akiwa serikalini kuanzia mwaka 1995 hadi 2015 zinatakiwa zimtoshe aanze kufanya kazi za wazee wa busara nje ya serikali, siyo kuendelea kuwa active serikalini.
 
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yupo nchini Comoro na leo amekutana na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani na kumpatia Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassani

View attachment 1904926

View attachment 1904927
JPM alikuwa anawatuma Samia na Majaliwa kumwakilisha mambo mbalimbali, leo Samia anatuma JK ( mstaafu) prime minister na vice president wapo, hiyo ni dharau sana, Kuna jambo ambalo haliko sawa kabisa, ndo maana hawa jamaa wako kimya sana kama hawapo including lukuvi, kabudi, cdf, IGP, you name it.
 
Ulipoandika dhalau badala ya dharaura nikaona kama punguani vile japo una point fikirishi
 
usimpangie cha kufanya. either way diplomasia na experience yake kazin inambeba.
ukiwa unajua unajua tu hata uzeeke vip
 
Nakumbuka Magu aliwahi kumtumia pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…