Dkt. Jakaya Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais Samia Kwenda Kwa Rais Wa Comoro

Picha pamoja hakuna barakoa.....wako 2 barakoa juu....au wanavua ajili picha?
 
usimpangie cha kufanya. either way diplomasia na experience yake kazin inambeba.
ukiwa unajua unajua tu hata uzeeke vip
Mimi simpangii kwani ni kodi zetu anazotumia. Kama ni hivyo basi wasiwe wanalazimisha watu wengine kustaafu wakifika miaka 60. Kikwete ana miaka 71, sasa iwapo yeye ndiye ataendelea kufanya kazi zote za diplomasia je wanaochipukia katika nyanja hiyo watafanya nini. Ina maana atakapokuwa hayupo hakutakuwa na wanadiplomasia tena. Kila kitabu na enzi zake, akubali kuwa enzi zake zimepita. Anaweza akahoji au kushauri mambo lakini siyo yeye mwenyewe ndiye awe active ndani ya serikali.
 
Ccm tumeipenda wenyewe,ndio wakombozi wa wanyonge,ndio wenye IQ kubwa,ndio wenye kujua magaidi nchi hii.

Kazi iendelee.
 
BF13FB6B-A66B-403D-836C-780C5B227618.jpeg

Don’t forget who is actually running the show.
 
Acha wivu kuna mambo tukikupa wewe huwezi kujua uanzie wapi heshimu status za watu
 
Back
Top Bottom