Dkt. Jakaya Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais Samia Kwenda Kwa Rais Wa Comoro

Huyo mzee wa msoga ndio anampangia - Aibu!
 
tulia wewe ukatwe tozo
 
Alimwakilisha wapi nje ya nchi.

Ninajua kuwa aliwahi kuandamana naye kwenye sherehe ya uapishwaji wa Rais wa Afrika ya Kusini, lakini siyo kuwa alimtuma Kikwete kuwa mwakilishi wake; JPM alikuwa akiwakilishwa na Mama Samia au Prof Kabudi.
kuapishwa kwa Rais wa Zimbabwe Ndg. Mnangagwa, Kikwete alimwakilisha JPM. Vipi tuendelee zingine au tuishie hapo?
 
Siyo kweli; JPM aliwakilishwa na Samia!
Usibishe vitu kama hujui au hukumbuki.

Kikwete alienda kuapishwa kwa Mnangagwa
Samia akaenda mazishi ya Mugabe.
tumia hata google itakusaidia kuliko kubishana vitu vilivyo wazi.
 
Usibishe vitu kama hujui au hukumbuki.

Kikwete alienda kuapishwa kwa Mnangagwa
Samia akaenda mazishi ya Mugabe.
tumia hata google itakusaidia kuliko kubishana vitu vilivyo wazi.
Ni kweli; nimeangalia tena na kuona kuwa hiyo ilipotokea, Kikwete aliambatana na Mangula pamoja na Cheyo kwenye sherehe hiyo ambayo haikuwa na majadiliano yoyote ya kidplomasia. Na ilipotokea ni wakati ambapo serikali ya magufuli ilikuwa na kikao cha baraza la mawaziri kuhusu tatizo la umeme na kesi ya TANESCO; ni kikao hiki kilichosababisha kuanza kwa mchakato wa mradi wa Stiglers Gorge. wote waliokwenda Zimbabwe wakati huo hawakuwa watu wa serikalini.
 
Samia tatzo jinsia 2:watu wa bara huwa hawana imani na watu wa pwani yan huwa wanaamini kiongoz Bora anatoka bara!!!!
 
Ulipoandika dhalau badala ya dharaura nikaona kama punguani vile japo una point fikirishi
Ulipoandika "dharaura" badala ya "dharau" kisha ukatukana mtu wewe ndiyo unaonekana punguani zaidi ya uliyemnukuu.
 
Kuna watakaosema mavasco da gama wanatumana kwa ghalama ya tozo za wadanganyika
 
Huyu baba anaacha kusaidia nchi yake, anazurura tu na yeye kukicha! Nchi iko kwenye mess ya hatari, ila watu wanapishana tu angani huko.
 
ndio maana kuna kitu kinaitwa experience.. no offence kwa wanao chipukia.. lakin je wana uhawishi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…