Dkt. Jakaya Kikwete Awasilisha Ujumbe Maalumu wa Rais Samia Kwenda Kwa Rais Wa Comoro

Jamaa anapenda kuzurura sana.wasaidizi wote wa hawatoshi.anamfundisha Mama kuiba.
Hata mfanyeje jamani kikwete ana kipaji cha pekee ktk Mambo ya Diplomasia!! ndo ivo Mungu alimweka!! hata mfanyeje mtamkuta ahera anafanya diplomasia hiyo hiyo kwa Mungu!

kmhuwezi huwezi tu msimulaumu kikwete!! nyie failure kabisa!
 
Jamaa anapenda kuzurura sana.wasaidizi wote wa hawatoshi
hawawezi kwanza!! muache aende hata km ikiwezekana akafanye mazungumzo na EU tupate mikopo tutalipa tu haka kajamaa kanaushawishi sana!!
 
Hata jiwe aliwahi kumtuma JK maeneo mengi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…