Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Hivi kule US Trump amegombea na nani vile wa Republican party?
 
Anaona aibuuu???? Leo kasema kwa Yale aliyoyaanzisha hajaona mtu wa kuyaendeleza, ndio maana amechukua form..... Sijui ikifika 2025 kama Miradi haijaisha atasema anaongeza tena ama lah
 
Kuna baadhi ya sentensi ukiambiwa kuwa imetamkwa na kiongozi tena anaongea akiwa komfotabo unaishia kufumba macho na unaomba nchi nyingine wasiskie maana unaweza pigiwa simu na mtu ukaulizwa huyo aliyeongea ni rais wa tff, club bilicanas, diamond jubelee, serens hotel etc etc
 
😂😂😂😂😂😂hivi Mwenyekiti wa chama ni nani vile? Hivi aliyemfukuza Membe ccm ni nani vile? Halafu ashindwe kuruhusu wengine wachukue form!? 🤣🤣🤣🤣🤣

Kwa tafsiri yangu, inawezekana angependa na wengine wajaze na kurudisha kama yeye! Na ndicho alichokisema:

My take;
Yawezekana hakupendezwa na Sheria iliyopitishwa na chama chetu cha CCM kuwa awe mwenyewe uchaguzi wa 2020.
 
Ndivyo walio mzunguka huko CCM wanavyo muaminisha.
Sasa hivi walio mzunguka kwa kuona watakosa tonge iwapo ataondoka wanampamba hata kumshawishi atumie nguvu kubaki madarakani waendelee kula kwa ulaini.
Lakini ngoja kampeni zianze tuone kama wataweza kupambana kwa hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…