Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Nataka kusema hivi WB imeitaja Tanzania kuwa lower middle income nation sawa na KENYA kwa Sasa...Unataka kusema nini?
Furaha?? Nitaaminije ikiwa hata wewe kwako hakuna hiyo Furaha??Sawa
Subiri akiapishwa,!Kwa hiyo tufanyeje?
Chadema pia kuna Mbowe mwenyekiti wa milele.Mbona hakuna demokrasia huko?.mmeshindwa kuiga hata Chadema tu ?
Rubani wa kubadilisha gia angani....Chadema pia kuna Mbowe mwenyekiti wa milele.
Kwa kuwa hata yeye mwenyewe Membe alituhakikishia kuwa kuanzia sasa hadi October mwaka huu "anything can happen"Membe anapangilia mambo yake ngoma bado mbichi hii meza lazima ibunuliwe!
Urudishaji wa fomu 2025 nao utachukua muundo huu? ngoja tusubiri!Rais Magufuli akirejesha fomu kwa nafsi nyingine tena, 2020-2025.
Hahahaha kwani fomu zilikua ngapi? TuchatiKwani wangapi wanaludisha fomu?
Mbona hakuna demokrasia huko?.mmeshindwa kuiga hata Chadema tu ?
Kwa hiyo tufanyeje?
Kwani wangapi wanaludisha fomu?
Membe anapangilia mambo yake ngoma bado mbichi hii meza lazima ibunuliwe!
Kunywa kisusio!