Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Ukienda Sumbawanga Leo Kuna mpaka taa za barabarani.....
Mbona Sasa tumeweza kununua ndege...kwani kina Membe WALISHINDWAJE?!!!
Tafakari
 
Nimeamua kuchukua na KURUDISHA fomu ili tuendeleze ile MIPANGO ALIYOKUWA NAYO BABA WA TAIFA...
HII NDIYO TANZANIA YA KILA MMOJA KUFAIDIKA.
 
Ndugu ZANGU nitajitahidi kushirikiana na kila mwananachama na NI kipindi Cha kutangaza na kunadi mazuri yaliyofanyika na YATAKAYOFANYIKA BAADA YA KUSHINDA 2020.
 
CCM chama kubwa, 2015 walikuwa karibia 50 wakiomba kazi hii, leo 2020 ni mmoja tu, aisee kweli Chama hiki kinaonyesha ukomavu wa hali ya juu, Demokrasia ni lazima iwe kwa mifano mizuri kama hii, vyama vingine vifunzeni ukomavu huu.
 
Kazi ya uenyekiti mbowe ni ngumu lakini bado TUNAMUAMINI kwa ule uwezo wake akae tu miaka 30 ijayo!!
Ulisha msikia Mbowe akilalamika kuwa kazi ya uenyekiti ni ngumu? Halafu unajibu out of context sijui kwanini au huwa hamuelewi mada?
 
Leo ndio siku ya mwisho kwa wagombea uraisi kupitia CCM kurudisha fomu
Raisi Magufuli karudisha leo siku ya deadline iliyotolewa na kamati kuu ya CCM Kwenye ratiba

Tunamtakia ushindi mnono

 
Mwamba tayari una kura yangu, let's go japo tunaongoza 1st half na timu pinzani imechoka vibaya tukamalizie kipindi cha pili
 
Sasa kama hakuna..kuchukua form mwingne..kwnn wasngeseve pesa kw kutumia form ya zamani?hivi kipindi cha pili cha Kikwete alichukua peke yake?
 
Back
Top Bottom