Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Je, unaushahidi ili kuthibitisha unachokisema?
 
Magufuli anajitahidi sana. Natumaini hatokuwa na tamaa ya kuongeza miaka mingine pindi muda wake utakapoisha hapo 2025.
 
Hakika umefanya mengi; na sio lazima yote uliyofanya yawe ni ya kujivunia.

Sijui kama yapo unayojutia kuyafanya, ambayo wengine wanapoyaona wanaona kwamba wewe hufai kuendelea kuwaongoza licha ya hayo unayotaka yaonekane umeyafanya na kujivunia kwayo..

Ukiwa muungwana na kuwaachia waTanzania waamue kwa hiari yao juu ya wewe kuendelea au kutoendelea kuwa kiongozi wao, hilo litakupa heshima kubwa zaidi ya hiyo miradi na mengine unayojivunia kuyafanya.

Wape waTanzania nafasi, watumie haki yao ya msingi ya kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe. Hili litakujengea heshima kubwa zaidi kuliko unavyodhani.

Juu ya kudhani miradi ambayo haijakamilika kutokamilishwa, hilo isiwe sababu ya kuwalazimisha waTanzania wakuchague wewe. Ni wao watakaohimiza miradi hiyo ikamilishwe na yeyote atakayechukua madaraka baada yako. Hilo lisikupe wasiwasi sasa hivi.
 
Kinachoshangaza tu ni kwa yeye kuendelea kuamini kwamba wanaomsikiliza wanayaelewa na kuyakubali hayo anayoyazungumza.

Hivi hujiandaa cha kusema anapoamua kuzungumza mbele za watu?
 
Kwahiyo Allah akimchukua nchi itasimama?akili za kishamba bana[emoji3]
Yaani huyu jamaa ni mbinafsi wa kupitiliza!

Na tutambue kuwa huyu jamaa hana mpango wa kuondoka madarakani, si yeye mwenyewe kusema hawezi akaondoka madarakani kabla hajakamilisha miradi aliyoianza!
 
Hatokei mwingine......
Nani Membe?!!!!

Yule bwana mvaa suti mwenye KIINGEREZA KINGI...

JIBU

HUYO HAWEZI
HUYO HAMWEZI JPM
HUYO MWEPESI

Nileteeni mwingine please

 
Sijui anajionaje sio mbinafsi huku akiwa ni yeye pekee aliyechukua fomu!! Anajiona tayari ni yeye TU ndio anaweza kukamilisha yaliyoanza. Na huenda haamini atakuja mtu atokee zaidi ya yeye, in a coded language - atakaa madarakani as long as anaishi!!

Maneno haya husemwa na viongozi wa nchi zisizo na mipango na maendeleo endelevu (sustainable planning n development).
 
Yaani huyu jamaa ni mbinafsi wa kupitiliza!
CHANGAMOTO yenu ni kuwa hamjakuzwa kusikia UKWELI......

HUYO ANAJUA
HUYO FUNDI WA KUNYOOSHA
HUYO HAWAONEI HAYA MAZWAZWA WAPIGAJI
HUYO PEKEE NDIYE TULIYE NAYE HAPA NCHINI....
WENGINE HAWAJAZALIWA BADO

Unabisha?!!
 
T
Toeni tu povu,sisi wanaCCM tunasubiri TU KUMCHAGUA.....

UKITAKA KUKIOVERTAKE CHAMA HIKI basi fanya mapinduzi.......
Tunayalinda mapinduzi yaliyotufanikisha KUWA HIVI TANZANIA!!
 
CCM moto ni mkali sana.

Hakuna mwenye ubavu wa kuprint fomu zaidi ya 1 kwenye nafasi ya Urais ndani ya CCM...

Hakuna mwenye uwezo na ubavu wa kuchukua fomu No 2...

Na hakuna mwenye nia ya kuwania Urais ukiacha jembe , Rais Magufuli.

Ambaye hajipendi afanye hivyo..

Kelele za Tweeter hazinaga msaada.
 
Angefanya hata robo ya aliyofanya JK mayowe yangekuwa hayatoshi.
Mzee mbona wenzio walifanya makubwa sana lakini hawakuwa na kelele?, wewe hata stahiki za wafanyakazi zilizoko kimikataba ya kazi na kisheria zimekushinda hayo makubwa makubwa gani?
Good point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…