Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huku ni sawa na kuanika madhaifu ya mkeo hadharani alafu ukajiona mjanja!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa utawala wake umekuwa wa propaganda zaidi na kwa kiasi fulani zimemsaidia kumuimalisha"Kwa maoni yangu tumefanya mipango mingi lakini bado mingine hatujaikamilisha na siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha, hiki ndicho kilichonifanya nichukue fomu, sikutaka kuwa mbinafsi kwa sababu siyo mimi tu ninayestahili kuongoza" - @MagufuliJP
#JPMKurejeshaFomu https://t.co/onDAcse059
Membe, wako wengi anataka lkn .....Hakuna mwenye uwezo na ubavu wa kuchukua fomu No 2...
Mtanzania mwenzangu hata ukilialia haitobadilisha tusifuate na kuzilinda imani kuu za CCM zilizoifinyanga nchi hii.Umeongea vizuri sana ila kuwa mkweli basi na uwe na hofu ya Mungu wa ukweli, utueleze unachofahamu kuhusu hawa watu: Beny Saanane na Azory Gwanda.
Pia useme kuhusu sakata lililompata Tundu Lissu kwani haya madaraka japo yanalevya sana lkn yana mwisho hata akina Nkurunziza na Mutharika wameshayaacha na wewe uko njiani kuyaacha.
Jaribu kuwatendea watu wako haki na uache kuwanyanyasa kwa kisingizio cha wale ni wapinzani. Baada ya huo mnaouita uchaguzi kupita na mkishafanya figusu kamwe wazungu hawatawaacha, ona leo Mnangagwa anavyolia kama kandama kalikofiwa na mamaye. Shauri yako utaona mwenyewe.
" na siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha, hiki ndicho kilichonifanya nichukue fomu," - @MagufuliJP
#JPMKurejeshaFomu https://t.co/onDAcse059
Naunga Mkono HOJA.[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]View attachment 1493700
Kwa kuwa tutakufa ndio tusipange mipango,ndio tusiwe na matumaini,ndio TUSINYOOSHE PASI NGUO ZETU ZA kuvaa kesho KAZINI,NDIO TUSISOGELEANE NA WAKE ZETU ili tuzaane?!!!Eti bado hajakamilisha, hajui kuwa hata miaka miwili inaweza isipite akafa.
Hata mimi sikuelewa anamaanisha nin kusema hakuwa mbinafsi wakati huo haoni mwingine wa kuongoza taifa hili.Ni maneno gani haya ya kujimwambafai!!!--- yaani hakuna mwingine atakaye tokea wa kuweza kukamilisha mambo aliyoyaanza??!!-- anao uhakika gani kwamba atashinda na atakuwa raisi tena na akishinda anao uhakika gani kama atakamilisha miradi aliyoianzisha???
View attachment 1493696
Za kuambiwa changanya na zako kama UNAZO
Je unaushahidi ili kuthibitisha unachokisema ?
Mitandaoni ni Sehemu ya kutoa stress tu ukiamini mambo ya Twitter utaharibikiwa peke yako