Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

Afrika sijui kuna laana gani!

Musukuma hela yake aliyoitafuta kwa jasho inaliwa na wajanja wa India kwa kumhadaa kuwa watampa PhD! Si ajabu aliyemtengenezea Musukuma cheti cha PhD, yeye ana certificate tu IT.

Sasa Musukuma anaonekana hamnazo kwa kuvalishwa magauni yal8yoshonwa huko mtaani akihadaiwa kuwa kwa kuvaa hayo magauni amekuwa Dr.

Siku zote walikuwa wanawaambia Musukuma, Kibajaji na Japipo kuwa ni wajinga, wao hawakuamini. Sasa ndiyo inaonekana kwa dhahiri, Musukuma ni mjinga wa kiwango gani.
 
PhD ya siasa kwa Tanzania it is good for nothing., bwana yule ni Proffesa kitaaluma na mchumi akiaminika duniani lakini alinunuliwa kwa shilingi mbili taaluma yake haikumsaidia chochote ata heshima aliyokuwanayo kwa watu haipo tena
 
Yeye Dkt.Msukuma ( PhD) ni wa darasa la saba.What do you expect? 😀
 
Yani hili jamaa ni limbukeni lililopata pesa. Amekaa kimajungu majungu saa zote. Huyu alikuwa kinara wa kutukana wasomi na kujinasibu kiufahari juu ya ulasaba wake. Leo hii kutunukiwa Phd ya kununua nae anajikuta msomi.
Huyu kiumbe nammithilisha na muendesha baiskeli alienunua leseni ya urubani wa ndege na ghafla kujiona na yeye ni rubani mbobezi. Ma profesa wasubiri kejeli na kebehi kutoka kwa Dr. wa kununua.
 
Yani hili jamaa ni limbukeni lililopata pesa. Amekaa kimajungu majungu saa zote. Huyu alikuwa kinara wa kutukana wasomi na kujinasibu kiufahari juu ya ulasaba wake. Leo hii kutunukiwa Phd ya kununua nae anajikuta msomi.
Hii nchi ina watu wa ovyo mno.
Hajui kabisa tabu ya kusoma hadi upate Phd. Lakini anawaponda sana wasomi leo naye amajivunia usomi
 
Hayo mavazi yako kama mpika chai wa madiwani.
Aende akasome tu hakuna jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…