Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

Msukuma jaribu kufungua domo lako humu JF uone yatakayokukuta, utatamani urudishe ulikovitoa hivyo viguo yako vya kudekia ulivyovyaa

Members wa JF baadhi mmegeuka bullies and demigods!!

Kwamba wewe ndio unakadiria nani ana haki ya kutoa hoja zake JF na nani hana?!? Acha kutisha watu, kamtishe mkeo na wanao!

Hongera sana King Dr. J.K Msukuma (Mb)
 
Mbona nawewe unawashutumu wenzio kwa wanachokifanya hujamaliza na wewe unafanya unachowalamu wenzako🤔.Hii Dunia ngumu sana
 
#NUKUU "Bahati mbaya mimi siko mitandaoni na kuhusu wanaonibeza, mimi nitazungumza kuanzia Ijumaa, sasa hivi bado nasoma tu hayo mambo yao wanayoyaandika,"- Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma

Chanzo: @supabreakfast ya @earadiofm

View attachment 2036973
Screenshot_20211208-184403.jpg
 
Ni kweli Magufuli nilimchukia sana hata baada ya kufa namchukia tu. Hata akifufuka nikawa wa kwanza kumuona nitamtamtandika afe mara ya pili
Kwn Dr Magu alikufanyia nn huko nyuma mpk una makasiriko hivyo?
Ebu tafuta hela bhana upunguze makasiriko.
Unatuchukia kabila zima kisa Magu kwa kweli huna akili hata kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasukuma ni watu wapole, waungwana, wenye busara, hekima, wastaarabu, kwanza sio watu wa kuongea ovyo ovyo, ndio maana kuna wakati najiuliza kama kweli baadhi ya watu wanaojinasibu kuwa wasukuma ni wasukuma kweli au ni mambo ya mipakani.
 
Kwn Dr Magu alikufanyia nn huko nyuma mpk una makasiriko hivyo?
Ebu tafuta hela bhana upunguze makasiriko.
Unatuchukia kabila zima kisa Magu kwa kweli huna akili hata kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hela ninazo za kutosha, naweza kukulisha wewe na mumeo
 
Ww jamaa hujielewi,unakuwa limbukeni sana.
Hizo Elimu za kupewa za heshima ,wewe ndo umeanza kuzionea kwa musukuma?
Uliza viongozi wengine kama akina kikwete,Magu,Mseven na wengine wewe hukuwaona au ulikuwa bado mjinga ndo umeijua dunia leo?
Unaweza kumponda mtu na kumwita limbukeni kumbe nawe ndo limbukeni namba 1

Au unachuki na jamaa
Si ukanunue na ww kama zinanunuliwa
Acha kuwafananisha viongozi wenye akili na Jiwe, pumbavu
 
Chuki ni kitu kibaya sana na siku zote humuumiza anayeihifadhi
Unachuki na Magu
Unachuki pia na kabila lake,
Watu dhaifu bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona jiwe anachukiwa na kila mtu mwenye akili timamu na siyo masikini, ndiyo mana kila siku kuna nyuzi za kumnanga sana humu. Ila ukiwa kichaa/chizi kama yeye huwezi elewa hili
 
Mbona jiwe anachukiwa na kila mtu mwenye akili timamu na siyo masikini, ndiyo mana kila siku kuna nyuzi za kumnanga sana humu. Ila ukiwa kichaa/chizi kama yeye huwezi elewa hili
Magu anachukiwa na watu mafisadi,wala rushwa wenye vyeti feki,wezi wa mali za umma na viongozi majipu ,watu wachafu wa aina hizo
Sijui ww upo kundi gani kati ya niliyotaja hapo juu

Wananchi walimpenda kwasababu alikuwa kiongozi mchapakazi,Muwazi,mwenye maamuzi ya haraka,aliwapigania wanyonge machinga mamantilie,bodaboda,walifanya biashara kwa uhuru,miundombinu ilijengwa,huduma za jamii zilikuwa bora maji na umeme

Sasa ww unaemchukia Magu na kabila lake una akili kweli?
 
Kifupi wewe ni miongoni mwa watu mnao jisifia kuwa masikini. Jiheshimu na jipe thamani mkuu, acha kujiona kama takataka, japo najua ni kazi kuelewa hili lakini omba msaada hata kwa mtu anaye jielewa akupe ufafanuzi, usiombe msaada kwa masikini mwenzio maana utaishia kunitukana tu. Take it seriously
 
Hiyo kofia akafugie nyuki
Na nguo akavulie samaki ndio hadhi zake
 
Sasa Dr Msukuma Kasheku ataelewa hiyo lugha ya malkia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasaidizi wake watamsaidia!
Ila nina shaka watamsomea kama anavyo penda yeye!
 
Tatizo lililopo ni kwamba watu ambao tayari wamekebehi PhD ya msukuma mitandaoni wanaweza kuzidi elf moja, sasa msukuma akiibuka hiyo ijumaa kuanza kumjibu mmoja mmoja tutakuwa hatuondoki hapa jukwaani kusubiri majibu ya Dr. Kasheku, JM (MP)........
 
Yani hili jamaa ni limbukeni lililopata pesa. Amekaa kimajungu majungu saa zote. Huyu alikuwa kinara wa kutukana wasomi na kujinasibu kiufahari juu ya ulasaba wake. Leo hii kutunukiwa Phd ya kununua nae anajikuta msomi.
Huyu kiumbe nammithilisha na muendesha baiskeli alienunua leseni ya urubani wa ndege na ghafla kujiona na yeye ni rubani mbobezi. Ma profesa wasubiri kejeli na kebehi kutoka kwa Dr. wa kununua.
Musukuma hakupewa Ph.D. (Yaani Doctor of Philosophy) , ila amepewa udaktari wa heshima (honorary doctorate). Namshangaa na yeye kusema amepewa Ph.D ya heshima, hamna kitu kinachoitwa Ph.D. ya heshima duniani; Ph.D zote huendana na thesis pamoja na viva voce (thesis defense). Doctorate za heshima huwa zinataja ni heshima gani, kwa mfano Doctor of Humanities Honoris Causa, Doctor of Letters Honoris Causa, Doctor of Science Honoris Causa, na vitu kama hivyo; halafu hutolewa siku ya graduation, ambapo mtunukiwa ndiye huwa msemaji mkuu wa darasa linalokuwa linagruate wakati huo ( kwa mfano class of 2021) na hupewa nafasi ya kutoa hotuba fupi kwa niaba ya darasa lake.
 
Back
Top Bottom