Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

Naamini maprofesa wa nchi hii watapumua sasa maana msukuma (Darasa la Saba) aliyekuwa kinara wa kuwananga wasomi wa nchi hii hoi kwa vijembe, Sasa ataungana na wasomi hao hao kuisaidia nchi ili ipate maendeleo.... Amen.
 
We taja Dr Msukuma sio " Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma". andika hivi: Mbunge wa Geita Vijijini, Dr Joseph Musukuma.

heshima heshima heshima.
 
Lile gauni la Msukuma limeshonwa na fundi Abdalah Magomeni.
 
Baada ya kufanikiwa kikubwa kuiheshimisha kada ya wa “la saba” au LY jeuri, dhidi ya maprofesa wasiojithamini, atasema nini kwa jinsi alivyowaangusha wadau wenzake. Amesaliti sana kada.
 
Naamini maprofesa wa nchi hii watapumua sasa maana msukuma (Darasa la Saba) aliyekuwa kinara wa kuwananga wasomi wa nchi hii hoi kwa vijembe, Sasa ataungana na wasomi hao hao kuisaidia nchi ili ipate maendeleo.... Amen.
Aa wapi. Sasa ndio asubiri aone jinsi maprofesa watakavyomshusha hadi kiwango chao na kumtandika na eksipriensi. Kama hatutamuona akirejea LY kwa spidi kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…