Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

Musukuma ni janga la Taifa na ni kielelezo cha ubovu wa Bunge letu. Isitoshe haya mapopoma ndiyo Magufuli aliyajaza na alikuwa anayataka ili wapitishe miswaada na mipango yake ya hovyo.

Hapo anasema "sipo kwenye mitanfao" halafu anasema "nasoma wanavyoniandika". Utasomaje wakati haupo kwenye mitandao?
 
Msukuma jaribu kufungua domo lako humu JF uone yatakayokukuta, utatamani urudishe ulikovitoa hivyo viguo yako vya kudekia ulivyovyaa
 
Ww jamaa hujielewi,unakuwa limbukeni sana.
Hizo Elimu za kupewa za heshima ,wewe ndo umeanza kuzionea kwa musukuma?
Uliza viongozi wengine kama akina kikwete,Magu,Mseven na wengine wewe hukuwaona au ulikuwa bado mjinga ndo umeijua dunia leo?
Unaweza kumponda mtu na kumwita limbukeni kumbe nawe ndo limbukeni namba 1

Au unachuki na jamaa
Si ukanunue na ww kama zinanunuliwa
 
Anatakiwa awe mwangalifu, tuzo nyingine zinaweza kukufanyia Permernent Head Damage (PHD)
 
Chuki ni kitu kibaya sana na siku zote humuumiza anayeihifadhi
Unachuki na Magu
Unachuki pia na kabila lake,
Watu dhaifu bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hiyo PHD ameilipia pesa? Au hela ya msukuma inaliwaje na India?. Toa ufafanuzi
 
Alisikika msomi mmoja akitoa mapovu,hasa baada ya mawe kutoka kwa msukuma kuhusu wasomi maprofesa wa nchi hii kutokuwa na chochote cha maana kwa nchi
 
Chuki ni kitu kibaya sana na siku zote humuumiza anayeihifadhi
Unachuki na Magu
Unachuki pia na kabila lake,
Watu dhaifu bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli Magufuli nilimchukia sana hata baada ya kufa namchukia tu. Hata akifufuka nikawa wa kwanza kumuona nitamtamtandika afe mara ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…