Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.

Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Huyo Dr ni hamnazo, wakulaumiwa ni hawa wanaorudi Dar kila siku, kwani walipokuwa Dar hawakuwa wanakwenda Dodoma?
Je hajatazama unafuu wanaopata wananchi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa,Kusini nyanda za juu na Magharibi kuitafuta Dsm?
 
Actually kwa kiasi kikubwa serikali Iko settled dodoma

Safari to dar and other regions ni za kawaida

Dar haikwepeki… ni commercial capital,

Fikiria if hadi leo dar ingeku capital… mji ulishazidiwa

Huyo msomi hawazi kwa upana wa jambo… anaangalia only one factor
Kabisaa jamaa ni kama anajipigia pass ya uteuzi.
 
Naona Dr Kahyoza unatafuta cheap popularity. Kama asinge hamishia serikali Dodoma nani anafanya hivyo. Mama tunajua hapapendi Dodoma maana kutwa kucha tunamuonea Dar na Kizimkazi. Swala la viongozi kuacha magari Airport au gari linaenda tupu na dereva Dodoma wakati kiongozi kapanda ndege. Huo ni ubadhilifu wa uongozi uliyopo madarakani, Rais mwenyewe akionyesha mfano. Mbona Mangu mwenyewe alionyesha mfano kwa kwenda na kutoka Dodoma kwa kupanda gari na Kula mahindi barabarani huku akitatua shida mbalimbali za wananchi wake. Magufuli alifanya vyema kutimia ndoto na MAONO ya baba wa Taifa JKN.
 
Binafsi huwa siwaelewi wanaomponda JPM ambae ndiye rais pekee aliyeonyesha uthubutu mkubwa sana katika kuonesha nchi yetu inabidi iendaje .
Kwanini? Wewe huoni hili la kuhamia Dodoma ni usanii uliopoteza fedha nyingi na mpaka sasa gharama zinazidi kuongezeka. Watu wengi walisema kabla kuwa sababu zilizofanya Nyerere kuamua kuhamia Dodoma zilishapitwa na wakati hivyo fedha za kujenga upya Dodoma zitumike kufanya mambo mengine lakini Magufuli akapinga. Imagine angetumia hizo fedha kujenga hospital kubwa hata tano, zenye vifaa vya kisasa na kusomesha ma-daktari bingwa leo si wananchi wangekuwa wanafaidi?
 
Namuoheshimu kwa eli
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.

Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Mu yake huyu dr ila namshangaa kwa ujinga na upymbavu wake
Ameshindwa kuwa mkweli

Jpm alipeleka selikal dodoma lengo shughur zote zifanywe na dodoma

Mama.ameshindwa kukaa dodoma kutimiza malengo ya selikal
Sasa huyu ndo anasababisha hizo gharama ameruhusu hayo

Taasisi zote zipo dodoma wizara zote
Dar wanatafta nini? Kama sio kumfata ikulu? Magogoni

Mwambieni ukweli mama magu hana kosa
 
Wabeba jeneza hawataelewa, huduma zile zile, Dar na Dom, lakini unatumia trilions kuhamisha makao makuu as if kuna dharura
Magufuli aliona mbali sana, siku mkija kutafakari kwa kina mtaelewa ni kwanini Dodoma, maana wengine fikra zenu ni majengo tu na miundombinu tu

Lakini mkizingatia issue tu kama usalama basi mtajua ya kuwa Dodoma ni mara elfu
 
Naona Dr Kahyoza unatafuta cheap popularity. Kama asinge hamishia serikali Dodoma nani anafanya hivyo. Mama tunajua hapapendi Dodoma maana kutwa kucha tunamuonea Dar na Kizimkazi. Swala la viongozi kuacha magari Airport au gari linaenda tupu na dereva Dodoma wakati kiongozi kapanda ndege. Huo ni ubadhilifu wa uongozi uliyopo madarakani, Rais mwenyewe akionyesha mfano. Mbona Mangu mwenyewe alionyesha mfano kwa kwenda na kutoka Dodoma kwa kupanda gari na Kula mahindi barabarani huku akitatua shida mbalimbali za wananchi wake. Magufuli alifanya vyema kutimia ndoto na MAONO ya baba wa Taifa JKN.
Kwa sasa kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kuhamishia makao makuu Dodoma kwa sababu sababu zilizokuwepo zilishapitwa na wakati. Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuzuia mianya ya upigaji siku zijazo. Hili la viongozi kutokupenda kuishi Dodoma wegi tulilisema. Your task: andika hata sababu mbili unazodhani kuhamishia makao makuu Dodoma kuna manufaa!
 
Ni wakati wa kupiga pesa za nje nje.
Ikumbukwe kuwa posho ya safari za nje almaarufu night sasa ziko dabodabo
Ukienda ukirudi ukienda ukirudi per month Milioni kadhaa.
Kwa ufupi wananchi kazi mnayo.
Kwakweli mungu wa wajinga na wanyonge maamuzi yake yanaendelea kuwatesa wanyonge
 
Dokta tutusa ilo

Linaogopa kuwaambia viongozi watulie dodoma linaishia kulaumu magufuli
Ungeshambulia hoja yake bila kushambulia elimu yake ingeleta tija sana. Hivi unafikiri hata rais akisema watulie Dodoma watatulia huko? Ungekuwa wewe ungetulia Dodoma? Other things are easier said than done! Dar-es-salaam itabaki Dar-es-salaam na Dodoma itabaki kuwa Dodoma. Hivi katika hali ya kawaida ni binadamu gani mwenye akili nzuri hataki vitu vizuri? Let them live.
 
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.

Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Ila wakati Magufuli yuko hai hakupinga hili jambo, njaa bwana!
 
Sasa hapo sio makosa ya magufuli hapo ni kosa la rais wa sasa na watendaji wake kutokuwa na utaratibu maalumu wa kazi.
 
BARD AI nadhani Dr hayuko sahihi....anachotakiwa kufanya ni kuwashauri viongozi kutulia katika mji wa kiserikali Mtumba ili kupunguza matumizi ovyo ya Kodi za wananchi....
Mchumi chawa hajui hata kupaint ubaya kwa mtu😂.Kuna swali moja kaulizwa mwishoni hapa sijui kama alilijibu clip imekata
 
Mbona wanalazimisha walimu, madaktari, manesi, mapolisi nk kukaa huko vijijini?

Tena Ummy akiwa waziri akapiga marufuku uhamisho watu kwenda manispaa na majiji

Sasa hao wakubwa wana uhalali gani wa kukataa kukaa Dodoma ilihali hao hao na chama chao ndio waliamua pawe makao makuu.

Tamko lilitakiwa kuwa moja tuu " kama hutaki kuhamia na kutulia Dodoma acha kazi" maana kuna watanzania mil 60 kati yao wapo wanaoweza kukaa na kuhudumia watu wakiwa Dodoma, hao wanaoona hawaawezi na kuiingizia nchi gharama waondoke mara moja waje wanaoweza
 
Naona Dr Kahyoza unatafuta cheap popularity. Kama asinge hamishia serikali Dodoma nani anafanya hivyo. Mama tunajua hapapendi Dodoma maana kutwa kucha tunamuonea Dar na Kizimkazi. Swala la viongozi kuacha magari Airport au gari linaenda tupu na dereva Dodoma wakati kiongozi kapanda ndege. Huo ni ubadhilifu wa uongozi uliyopo madarakani, Rais mwenyewe akionyesha mfano. Mbona Mangu mwenyewe alionyesha mfano kwa kwenda na kutoka Dodoma kwa kupanda gari na Kula mahindi barabarani huku akitatua shida mbalimbali za wananchi wake. Magufuli alifanya vyema kutimia ndoto na MAONO ya baba wa Taifa JKN.
Koh koh
 
Namuoheshimu kwa eli

Mu yake huyu dr ila namshangaa kwa ujinga na upymbavu wake
Ameshindwa kuwa mkweli

Jpm alipeleka selikal dodoma lengo shughur zote zifanywe na dodoma

Mama.ameshindwa kukaa dodoma kutimiza malengo ya selikal
Sasa huyu ndo anasababisha hizo gharama ameruhusu hayo

Taasisi zote zipo dodoma wizara zote
Dar wanatafta nini? Kama sio kumfata ikulu? Magogoni

Mwambieni ukweli mama magu hana kosa
Taasisi zote zipo dodoma?

Unaishi nchi gani?
 
Back
Top Bottom