Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Dr ni hamnazo, wakulaumiwa ni hawa wanaorudi Dar kila siku, kwani walipokuwa Dar hawakuwa wanakwenda Dodoma?Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Kabisaa jamaa ni kama anajipigia pass ya uteuzi.Actually kwa kiasi kikubwa serikali Iko settled dodoma
Safari to dar and other regions ni za kawaida
Dar haikwepeki… ni commercial capital,
Fikiria if hadi leo dar ingeku capital… mji ulishazidiwa
Huyo msomi hawazi kwa upana wa jambo… anaangalia only one factor
Ni sahihi.BARD AI nadhani Dr hayuko sahihi....anachotakiwa kufanya ni kuwashauri viongozi kutulia katika mji wa kiserikali Mtumba ili kupunguza matumizi ovyo ya Kodi za wananchi....
Kwanini? Wewe huoni hili la kuhamia Dodoma ni usanii uliopoteza fedha nyingi na mpaka sasa gharama zinazidi kuongezeka. Watu wengi walisema kabla kuwa sababu zilizofanya Nyerere kuamua kuhamia Dodoma zilishapitwa na wakati hivyo fedha za kujenga upya Dodoma zitumike kufanya mambo mengine lakini Magufuli akapinga. Imagine angetumia hizo fedha kujenga hospital kubwa hata tano, zenye vifaa vya kisasa na kusomesha ma-daktari bingwa leo si wananchi wangekuwa wanafaidi?Binafsi huwa siwaelewi wanaomponda JPM ambae ndiye rais pekee aliyeonyesha uthubutu mkubwa sana katika kuonesha nchi yetu inabidi iendaje .
Mu yake huyu dr ila namshangaa kwa ujinga na upymbavu wakeMtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Magufuli aliona mbali sana, siku mkija kutafakari kwa kina mtaelewa ni kwanini Dodoma, maana wengine fikra zenu ni majengo tu na miundombinu tuWabeba jeneza hawataelewa, huduma zile zile, Dar na Dom, lakini unatumia trilions kuhamisha makao makuu as if kuna dharura
Kwa sasa kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kuhamishia makao makuu Dodoma kwa sababu sababu zilizokuwepo zilishapitwa na wakati. Uongozi mzuri ni pamoja na kuweza kuzuia mianya ya upigaji siku zijazo. Hili la viongozi kutokupenda kuishi Dodoma wegi tulilisema. Your task: andika hata sababu mbili unazodhani kuhamishia makao makuu Dodoma kuna manufaa!Naona Dr Kahyoza unatafuta cheap popularity. Kama asinge hamishia serikali Dodoma nani anafanya hivyo. Mama tunajua hapapendi Dodoma maana kutwa kucha tunamuonea Dar na Kizimkazi. Swala la viongozi kuacha magari Airport au gari linaenda tupu na dereva Dodoma wakati kiongozi kapanda ndege. Huo ni ubadhilifu wa uongozi uliyopo madarakani, Rais mwenyewe akionyesha mfano. Mbona Mangu mwenyewe alionyesha mfano kwa kwenda na kutoka Dodoma kwa kupanda gari na Kula mahindi barabarani huku akitatua shida mbalimbali za wananchi wake. Magufuli alifanya vyema kutimia ndoto na MAONO ya baba wa Taifa JKN.
Ungeshambulia hoja yake bila kushambulia elimu yake ingeleta tija sana. Hivi unafikiri hata rais akisema watulie Dodoma watatulia huko? Ungekuwa wewe ungetulia Dodoma? Other things are easier said than done! Dar-es-salaam itabaki Dar-es-salaam na Dodoma itabaki kuwa Dodoma. Hivi katika hali ya kawaida ni binadamu gani mwenye akili nzuri hataki vitu vizuri? Let them live.Dokta tutusa ilo
Linaogopa kuwaambia viongozi watulie dodoma linaishia kulaumu magufuli
Ila wakati Magufuli yuko hai hakupinga hili jambo, njaa bwana!Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Mchumi chawa hajui hata kupaint ubaya kwa mtu😂.Kuna swali moja kaulizwa mwishoni hapa sijui kama alilijibu clip imekataBARD AI nadhani Dr hayuko sahihi....anachotakiwa kufanya ni kuwashauri viongozi kutulia katika mji wa kiserikali Mtumba ili kupunguza matumizi ovyo ya Kodi za wananchi....
Koh kohNaona Dr Kahyoza unatafuta cheap popularity. Kama asinge hamishia serikali Dodoma nani anafanya hivyo. Mama tunajua hapapendi Dodoma maana kutwa kucha tunamuonea Dar na Kizimkazi. Swala la viongozi kuacha magari Airport au gari linaenda tupu na dereva Dodoma wakati kiongozi kapanda ndege. Huo ni ubadhilifu wa uongozi uliyopo madarakani, Rais mwenyewe akionyesha mfano. Mbona Mangu mwenyewe alionyesha mfano kwa kwenda na kutoka Dodoma kwa kupanda gari na Kula mahindi barabarani huku akitatua shida mbalimbali za wananchi wake. Magufuli alifanya vyema kutimia ndoto na MAONO ya baba wa Taifa JKN.
Taasisi zote zipo dodoma?Namuoheshimu kwa eli
Mu yake huyu dr ila namshangaa kwa ujinga na upymbavu wake
Ameshindwa kuwa mkweli
Jpm alipeleka selikal dodoma lengo shughur zote zifanywe na dodoma
Mama.ameshindwa kukaa dodoma kutimiza malengo ya selikal
Sasa huyu ndo anasababisha hizo gharama ameruhusu hayo
Taasisi zote zipo dodoma wizara zote
Dar wanatafta nini? Kama sio kumfata ikulu? Magogoni
Mwambieni ukweli mama magu hana kosa
Unapumzika mwili wake ,ila mayendo yake Kwa ummayanaishi ,yawe mazuri au mabaya!Ni kweli, ila ifike kipindi huyo mzee aachwe apumzike huko aliko Kama kuna kupumzika.