Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

Anajua hasara tuliyokuwa tunapata kama taifa kwa misururu ya foleni inayosababishwa na misafara hapa Dar?

Anajua gharama walizotumia wananchi wa mikoa ya mbali kuja Dar kufuata huduma ila kwa sasa wanapata huduma karibu?
 
Huyu Dokta mbona ameongea Pumba
Kama kiongozi ana safari za kikazi hiyo sio shida kwani hata makao makuu yalipokuwa Dar si walikuwa na safari za kikazi mikoani

Ila kama ni safari zao binafsi na wanatumia resources za serikali hilo nikosa na huo ni uzembe wa top management kushindwa kuthibiti

Na angekuwepo Magufuli huo upuzi usingekuwepo mbona alizuia safari za nje ya nchi sizizo na tija Kwa viongozi wa serikali

Badala mseme kuwa serikali imelegea watendaji wake wanafanya wanachojisikia mnamlaumu Magufuli

Kumbe unaweza uwa Dokta alafu ukawa kilaza tu
 
Dr mpuuzi tu
Unaacha kuwaambia wafanyakazi watulie Dodoma unamlaum magu
 
Binafsi huwa siwaelewi wanaomponda JPM ambae ndiye rais pekee aliyeonyesha uthubutu mkubwa sana katika kuonesha nchi yetu inabidi iendaje .
Pamoja na hayo, uamuzi wa kuhamishia makao makuu Dodoma haukufanywa na JPM kwa taarifa tu. Ni habari ambazo anayetaka kujua akitafuta atazipata.
 
Mkuu kumbuka serikali haingalii miaka mitano hata kumi mbele ila sisi mtu mmoja mmoja ndo tunaangalia karibu karibu,serikali inatakiwa iangalie miaka hata hamsini na zaidi mbele ,sasa kuhamia Dodoma serikali imefanya hivyo imeangalia mbali sana idadi ya watu inakua sana ,mpaka sasa ukiangalia dar ina watu wengi.Na pia kama serikali baadhi ya majengo ilikuwa inapanga sasa itaendelea kupanga mpaka lini kama serikali? Kwa hiyo kuhamia dodoma ni muda muafaka na sababu sahihi zipo.
 
Uchawa unamsumbua, hajafikiria vyema. Watu wanakula Raha mjin badala ya kukaa Dom wafanye kazi.

Ni sawa na kumlaumu Mungu kule Kongo Kwa kuwapa madini badala ya kuwalaumu wale wanaoifanya Kongo isitawalike.
 
Hili mbona lina suluhisho rahisi kuliko kuhamia Dodoma? Dar na maeneo yanayoizunguka bado ni kubwa sana. Kuna vipaumbele vya kuangalia sasa hivi kama hospital, shule etc na siyo kujenga ikulu Dodoma. BTW Sidhani kama serikali yetu inapanga mipango ya muda mrefu kwa sababu ingekuwa inafanya hivyo nchi isingekuwa kwenye hali ya sasa inaendeshwa kama zimamoto.
 
Magufuli akiwepo mambo yalikuwa ni hivi hivi. Safari za Dododoma Dar zilikuwa haziishi.
 
Mkuu Marais waliofuata baada ya Nyerere hawakuona sababu ya msingi ya kuhamia Dodoma licha maamuzi ya chama. Kitisho cha mashambulizi kilishatoweka.

Pili, mambo na maamuzi hubadilika kulingana na wakati na maendeleo ya teknolojia.

Anachosema Dr. Hapo ni matokeo hasi na hasara ya maamuzi ya kukurupuka.

Mkuu ukweli ni kwamba kwa mwenendo huu na uwekezaji unaoendelea Dar es salaam miaka 10 mingine ijaayo ofisi zote zitakuwa zina operate kutoka Dar es salaam kama kawaida.
 
Wataalam wanapoongea ujinga unajiuliza hii nchi nani ataikomboa.

Tumefikia mahali mtaalam mwenye PHD anakua chawa.

Dr. Kahyoza chawa mwenye PhD.
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸ“βœοΈπŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘ŠπŸ€πŸ™πŸ—ΌπŸŽπŸ’πŸ›‘οΈ
 
Dkt. Kahyoza ni mtanzania? Uraia wake ? Hawa kina Kahyoza hawa wanajificha kwenye kagera hawa wachunguzwe
Mkuu ni mtanzania na ana haki ya kusema upunguani wa Magufuli, usitishe watu hapa.

Maamuzi ya kipuzi na kidwanzi yapingwe ili vizazi vijavyo vijifunze na maamuzi ya sahihi yapewe heshima inayo stahiki.
 
Yeye mama mwenyewe Dodoma hapapendi Hali ya hewa mbaya na ni vumbi na 70% ya MDA wake Yuko Dar,!
 
Mkuu ushahidi upo wa kutosha, usijitoebufahamu kwa sababu ya mahaba uchwara.

Unajifanya una mapenzi naye kuliko hata familia yake. Mwendazake alikuwa katili kupita kiasi, lilikuwa ni kosa kubwa kwenye historia ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…