Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Hapo Muhimbili mmesabibisha watu wafe bure ebu vunjeni hilo dude la kujifukiza kum make zenu nyie mujimbili mbuzi jabisa
 
Huyu Kigwangalla mbona alishaingia kwenye hiyo mashine ya nyungu?

Sijui huyu Kigwangalla ni dini gani maana siyo kwa unafiki huu!!!
Sio unafiki, ni uoga aliokuwa nao mwanzo. Na viongozi wengi walikuwa wanaogopa kuvaa barakoa au kukosoa mbinu za marehemu kulinda matumbo yao.

Sasa kaondoka ndio wanaanza kurudi kwenye Sayansi.
 
mbona unalichukulia hili personal ndugu? Hamchukii Magufuli, ila anba mtazamo tofauti na namna ya kupambana na ugonjwa wa Corona, sio uadui huo
 
Aisee 🤔🚶🚶🚶 Maisha haya 🤣 watanzania tunayumbishwa kweli kwel hatujui tufanye lipi. Nyungu ama nn
 
Hayati alipenda kusifiwa, kutukuzwa na kila wazo lake aliamini ni sahihi. Waliomsujudu wamedumu kwenye utawala.


Nafikiria hats lkikao cha baraza LA mawazr alikuwa anawahutubia tu alichojadiliana na mabeyo, diwani na sirro
 
Daaaah 😂😂😂
 
 
Hakika binadamu ni wabaya Sana siku zote tenda wema nenda zako usingoje shukrani ,hutoa Mungu
 
Sasa hivi tutashuhudia unafiki wa kila rangi.Mimi nilishasema kwamba'',Viongozi au watendaji walio hudumu kipindi cha Jiwe,kama walifanya makosa yasiyohusiana na Jinai Utekaji watu,mauaji,kudhulumu mali za watu,kupoteza watu n.k wasamehewe''.Hayo mambo walifanya nje ya utashi wao wakishinikizwa na Jiwe.Walifanya ili kulinda matumbo yao na familia zao!
 
Jiwe mwenyewe ndio aliwatengenezea huo unafiki
... uko sahihi! Kama mnafiki mkuu hayupo lazima kundi la wanafiki liyumbe; halijui lielekee kulia au kushoto; liende mbele au lirudi nyuma. Kila mmoja katika kundi lazima aongee lake maana mswaga kundi hayupo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…