Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo...
Mfyuuuuuuuu....Yuda kazini
 
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo....
Ulistahili kumalizia kwa kuweka maoni yako kwa neno moja tu! Pumbav!
 
Hahahahahahah

Alikuwa wapi siku zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maisha hayaendi bila unafiki.
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwi Kwi Kwi
 
Mashine ibaki kuivunja ni hasara zaidi...lakini kufanya tiba za kisayansi ni muhimu zaidi
 
Maana yake huyu a angekuwa rais tungelazimishwa kuvaa barakoa za N95 nchi nzima ,lockdown nchi nzima ..

Mzee wa copy and paste
 
Unafiki kwenye siasa hauwezi kuisha sio kigwa tuu wengi walifanyakazi ya kumfurahisha mfalme!!!
Niliwahi kuhisi Bashiru anaondoa hiyokitu sisiemu nkajashangaa
1. Kaigeuka katiba mpya aliyoidaigi vyema
2. Kukiri nisawa serikalini kutumia nguvu ya dola vibaya kubaki madarakani
3. Kusema hatakubali uteuzi wowote sasa anapokea mauteuzi hovyohovyo
4. Kushiriki kuua upinzani na kununua watu chamani.
5. Kumhonga mtatiro UDC ili atoke cuf alikokuwa mwenyekiti feki
Siasa za bongo ni konyo sana! unaa mwanzo mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…