Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Kuvaa Barakoa ?, Yeye anavaa ?
Anyway its never too late to do the right thing....
 
Hasira za kukosa uteuzi. Alijua Mama angemkumbuka. Huyu huwa ana mambo ya kitoto!
 
Kama ni kweli kasema hivyo duuh, hawa Viongozi wetu hata siwaelewi, na wa Fedha nae kaanza kuongea.

Mimi najiuliza hivi kama waliona yasiyo sawa wakati Mwendazake bado akiwepo kwa nini hawakuthubutu kuhoji?

Hii inaonesha kuwa kwao madaraka ni bora kuliko Wananchi...kwa hiyo wao tukiumizwa sisi huwa wanatuchungulia tu kwa jicho pembe kulinda ugali wao.

Nape alijaribu kupaza sauti kuhusu Kodi wakati bado Mzee akiwepo lakini nadhani naye ni kwa vile alishaona hana cha kupoteza tena.
Mkuu tugange yajayo
Unafiki ni kweli upo ila mwendazake alijipanga sana kuwabana hawa kwa kutumia madhaifu ya katiba , nafikiri hawakuwa na option zaidi ya kusifia tu.
 
Dr Ngungulile ndiye shujaa, alisema madhara ya kujivukiza katika mfumo wa hewa. Mwendazake akamtumbua.
Huyu nae ameshakua kiazi tu, ametuahidi kupunguza virurushi badala yake kapandisha
 
Back
Top Bottom