Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Stroke. Tulia uone unafki uliomo mwenu humoHuyu jamaa kapitiliza kwenye unafiki, hana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya siasa??
Odhis *
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stroke. Tulia uone unafki uliomo mwenu humoHuyu jamaa kapitiliza kwenye unafiki, hana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya siasa??
Thubutu yake.Angekuwepo hayatti angeweza kuongea hivi
Thubutu yakeAngekuwepo hayatti angeweza kuongea hivi
Hata kabla ya maombolezo kuishaMataga wameanza kumkataa marehemu pombe live bila chenga.
Obviously.Waziri wa Afya na naibu wake sijui na wao watamkana mwendazake.....
Mkuu tugange yajayoKama ni kweli kasema hivyo duuh, hawa Viongozi wetu hata siwaelewi, na wa Fedha nae kaanza kuongea.
Mimi najiuliza hivi kama waliona yasiyo sawa wakati Mwendazake bado akiwepo kwa nini hawakuthubutu kuhoji?
Hii inaonesha kuwa kwao madaraka ni bora kuliko Wananchi...kwa hiyo wao tukiumizwa sisi huwa wanatuchungulia tu kwa jicho pembe kulinda ugali wao.
Nape alijaribu kupaza sauti kuhusu Kodi wakati bado Mzee akiwepo lakini nadhani naye ni kwa vile alishaona hana cha kupoteza tena.
Hadi kanisan na misikitinLakini tuacheni utani wakuu, hivi dunia hii kuna watu wanafiki kama Watz.?
Duh is politics a profession ??ofcourse. ni mwanasiasa. thats his job
Watu washasalitiKabla Jogoo hajawika.......
yes ndio maana kuna wengine wanasomea kabisa. hata chuo kikuu kuna kozi maalumu kabisa.Duh is politics a profession ??
Huyu nae ameshakua kiazi tu, ametuahidi kupunguza virurushi badala yake kapandishaDr Ngungulile ndiye shujaa, alisema madhara ya kujivukiza katika mfumo wa hewa. Mwendazake akamtumbua.
Na wajinga wakashangilia na kusifu.Dr Ngungulile ndiye shujaa, alisema madhara ya kujivukiza katika mfumo wa hewa. Mwendazake akamtumbua.
WalIiaWala rangi
Wala shape
Wala.,.
Watu kama hawa ndio wanafanya kila mtu aonekane mjinga.Stroke. Tulia uone unafki uliomo mwenu humo
Odhis *