Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hata Jafo baada ya Magu kufaariki, akaanza kuvaa barakoa.
Hawa watu wanafiki sana.
Hawa watu wanafiki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaonyesha halisi ya wanasiasa wa kiafrika!!Kama ni kweli kasema hivyo duuh, hawa Viongozi wetu hata siwaelewi, na wa Fedha nae kaanza kuongea.
Mimi najiuliza hivi kama waliona yasiyo sawa wakati Mwendazake bado akiwepo kwa nini hawakuthubutu kuhoji?
Hii inaonesha kuwa kwao madaraka ni bora kuliko Wananchi...kwa hiyo wao tukiumizwa sisi huwa wanatuchungulia tu kwa jicho pembe kulinda ugali wao.
Nape alijaribu kupaza sauti kuhusu Kodi wakati bado Mzee akiwepo lakini nadhani naye ni kwa vile alishaona hana cha kupoteza tena.
Ndio maana kuna watu wanamuita mshamba, Mtu mzima unashindwaje kufahamu binadamu anapokusifia kinafiki?Magu alizungukwa na wanafki. na akawachekea sana.
wakimsifia kwa maneno matamu akawachagua.
haya ni matunda yake mwenyewe
Politics is just an art to influence people sio profession hakuna mtu anaajiriwa kwakua mwanasiasa.yes ndio maana kuna wengine wanasomea kabisa. hata chuo kikuu kuna kozi maalumu kabisa.
although yeye hajasomea hiyo kozi
Nikikumbuka ile scene ya kulamba malimao na kujifukiza mubashara, ngoja tuwasubiri nao wapige u.turn tuoneWaziri wa Afya na naibu wake sijui na wao watamkana mwendazake.....
Kavaa mara ngapi au anaendelea kuvaa hadi sasa?Hata Jafo baada ya Magu kufaariki, akaanza kuvaa barakoa.
Hawa watu wanafiki sana.
Yaan nimecheka sana jamaniNikusaidie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Huyu Yuda amesubiri Uncle Magu afe aje na uduanzi wake, si wakati inafungwa si alikuwepo, aache upoyoyo wake!View attachment 1742973
Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.
Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.
Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk
View attachment 1742982
Aliogopa jiweKwa nini haya hakuyasema mwanzo?
..nyakati zinaruhusu kuongea hayo.Angekuwepo hayatti angeweza kuongea hivi
Na wewe unampoteza mwenzio.... Politics ni science ya governance na humo ndani kuna international relation, public administration, political economy etc.Politics is just an art to influence people sio profession hakuna mtu anaajiriwa kwakua mwanasiasa.
Hiyo kozi ni kwa ajili ya kuwawezesha wahitimu kusaidia katika mambo ya utawala, wala hawaajiriwi kama wanasiasa ndio maana utakuta kozi hiyo lazima ibebwe na taaluma nyingine maana yenyewe haiwezi jitegemea ( mf. Political science and Public administration)
Nipe mfano wa tangazo moja tu la ajira ya mwanasiasa nami nitaamini ile ni profession.