Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Dkt. Kigwangalla: Mashine ya nyungu iliyo Muhimbili ivunjwe, viongozi wavae barakoa

Kama ni kweli kasema hivyo duuh, hawa Viongozi wetu hata siwaelewi, na wa Fedha nae kaanza kuongea.

Mimi najiuliza hivi kama waliona yasiyo sawa wakati Mwendazake bado akiwepo kwa nini hawakuthubutu kuhoji?

Hii inaonesha kuwa kwao madaraka ni bora kuliko Wananchi...kwa hiyo wao tukiumizwa sisi huwa wanatuchungulia tu kwa jicho pembe kulinda ugali wao.

Nape alijaribu kupaza sauti kuhusu Kodi wakati bado Mzee akiwepo lakini nadhani naye ni kwa vile alishaona hana cha kupoteza tena.
Hii inaonyesha halisi ya wanasiasa wa kiafrika!!


Typical human beings !! Unafiki unafiki wa kiwango Cha lami, Kingwangala ni moja ya wanasiasa na wasomi wapumbavu sana, mzee alisimama kidedea baada ya kupata ajali ili atibiwe leo hata maombolezo hayajaisha anaonyesha weusi wa akili yake kama alivyo sura yake, hawa ndio waliokuwa washauri wa Rais leo wanaonyesha udwanzi wao mbele za umma, alikuwa waziri hakuwahi hata kushauri, hata baada ya kutumbuliwa kwenye akauti zake zote hakuwahi kuweka andiko kama hili, this man is typical a hooligan!


Nimeamini Sasa KIGOGO siyo mtu wa kawaida, ni watu wa karibu sana na "system"

Hatari!!
 
Magu alizungukwa na wanafki. na akawachekea sana.
wakimsifia kwa maneno matamu akawachagua.
haya ni matunda yake mwenyewe
Ndio maana kuna watu wanamuita mshamba, Mtu mzima unashindwaje kufahamu binadamu anapokusifia kinafiki?
 
yes ndio maana kuna wengine wanasomea kabisa. hata chuo kikuu kuna kozi maalumu kabisa.
although yeye hajasomea hiyo kozi
Politics is just an art to influence people sio profession hakuna mtu anaajiriwa kwakua mwanasiasa.

Hiyo kozi ni kwa ajili ya kuwawezesha wahitimu kusaidia katika mambo ya utawala, wala hawaajiriwi kama wanasiasa ndio maana utakuta kozi hiyo lazima ibebwe na taaluma nyingine maana yenyewe haiwezi jitegemea ( mf. Political science and Public administration)

Nipe mfano wa tangazo moja tu la ajira ya mwanasiasa nami nitaamini ile ni profession.
 
Kuna vitu vitatu vinasukuma wanasiasa kila siku

1. Power
2. Power
3. Power

Kuna mtu wangu mmoja wa karibu alikuwa na cheo fulani kizuri tu serikalini. Nje ya kazi zake pia alikuwa anafuga ng'ombe wa maziwa, jamaa alikuwa anasambaza maziwa hotel kubwa kubwa mjini. Hakuna siku maziwa yanabaki. Maisha yakaenda, akastaafu. Ndani ya mwezi mmoja, wateja wake wote wakakauka. Na visingizio kibao, mara siku hizi maziwa unayoleta yana maji!!! Just like that biashara yake ya kufuga ng'ombe ikafa.

Hayo ndio maisha, Magufuli kafa; he is out of power, kumuabudu ndio kumeishia hapo. Tutaona mengi sana, ni wiki mbili tu tangu amefariki, tujipe muda zaidi.
 
Nikusaidie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Yaan nimecheka sana jamani
 
Kwenye dini ya kiislamu mnafiki amepigwa Vita sana.
HK Angekua muislamu wa kweli angekua anajua hicho kipengeele.
Au nasema uwongo ndugu zangu waislamu wa kweli?
 
View attachment 1742973

Mbunge wa Nzega Mjini, Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri mashine ya kujifukizia iliyowekwa Hospitali ya Muhimbili ivunjwe na watu wafauate hatua za kujikinga na #COVID19 ikiwemo kupata chanjo.

Kigwangwalla amesema wataalamu wa Afya wana jukumu la kumshauri Rais Samia na yeye kama mbunge watalizungumza bungeni ili kuanza kufuata njia za kisayansi.

Amesema si sawa kwa taasisi kubwa kama Muhimbili kuwa na mashine za kupiga nyungu, ni muhimu watu kufuata hatua a afya kama kuvaa barakoa nk

View attachment 1742982
Huyu Yuda amesubiri Uncle Magu afe aje na uduanzi wake, si wakati inafungwa si alikuwepo, aache upoyoyo wake!
 
Yuda kamsaliti Hayati mapema kabisa, Kigwangala ungesema maneno hayo kipindi hayati yupo hai
 
Kigwa, yuko timamu, tatizo la hii nchi ni mfumo, wateule wanacheza mziki wa aliyewateua, wanaangalia falisafa ya namba moja anataka nini wao wanapita mule kulinda ugali wao. Kwa hiyo mabadiliko ya utawala wa awamu ya sita yanamfanya Dr.Kigwa awe huru na kusema kile kilichochkweli moyoni mwake kama medical scientist.

Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
 
Dah nimekaa nafiria Zaid ya masaa kadhaa ivi mpaka Sasa sijapata Majibu kama kwel ama Naota

Uyu mzee sio wa kumuamin hata Mke wake Akae nae kwa Umakin mkubwa bado najiuliza how
 
Wanasiasa wa Tanzania ni reflection ya jamii wanakotoka hivyo bado wako wengi tu wataondelea kumkubali miongoni mwetu.
 
Hoja yako haijitoshelezi! Ungeweka facts hapa kwa nn asiaminiwe!

Huwezi sema usimwamini mtu fulani bila reasons yoyote na akakuelewa! Eleza ni kwanin tusimwamini, ndo tutapima maelezo yako yana mashiko au hayana!!
 
Politics is just an art to influence people sio profession hakuna mtu anaajiriwa kwakua mwanasiasa.

Hiyo kozi ni kwa ajili ya kuwawezesha wahitimu kusaidia katika mambo ya utawala, wala hawaajiriwi kama wanasiasa ndio maana utakuta kozi hiyo lazima ibebwe na taaluma nyingine maana yenyewe haiwezi jitegemea ( mf. Political science and Public administration)

Nipe mfano wa tangazo moja tu la ajira ya mwanasiasa nami nitaamini ile ni profession.
Na wewe unampoteza mwenzio.... Politics ni science ya governance na humo ndani kuna international relation, public administration, political economy etc.

Na political science career yake mfano mtu anatafuta team ya negotiations, Diplomats, Strategists hapo watu wa political science wana apply. Ni sawa tu na useme economics ana apply kazi ya economist?? Hapana ila ikitokea mtu wa forecasting, Pricing, Business strategy etc anahitajika obviously mtu aliyesomea economics ata apply.

That's all
 
Back
Top Bottom