Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
Your browser is not able to display this video.
=====
Nukuu za Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangwala alipozungumza na Chief Odemba
“Mohamed Dewj (MO) ni mfanyabiashara mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri hivyo niliamua kumpuuza na kumuondoa kwenye listi ya marafiki zangu”
“CAG alinionea sana kunitaja kwenye ubadhilifu, aliyepaswa kupewa tuhuma hizo ni Katibu Mkuu Prof. Mkenda siyo Mimi”
“Katibu Mkuu wangu Prof. Mkenda alikuwa na dharau , Mimi nilikuwa Bosi wake lakini alikuwa anakaidi maagizo yangu”
Wenye uwezo mdogo kufikir wengi wao wanalipwa na kutegemea kuish kwa kodi za walalahoi.
Mo is a billionair and anyone worth bilions is super smart..
Kigwa aendelee tu kufuga ngombe
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake
Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla
Hahahaha wapumbavu wanaongeleaga watu na kufikiria watu ....inahitaji hekima na uwezo mkubwa wa akili ya maana kukuza mali ....wote tunajua upumbavu wa wanasiasa hasa hasa wakwetu