Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Dkt. Kigwangalla: Mo Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri, nimeamua kumpuuza!

Betini mechi moja Tena kwenye timu yenye low odd(1.1-1.3). Achana kabisa na betting companies zinazolazimisha mikeka(multiple). Zikwepe hizo kampuni. Na hii ni kwa ligi zinazotabirika kwa urahisi, na hapa ndipo topic ya hesabu ya probability inafanya kazi.

Hii topic ilifanywa kuoneka Ngumu kwa makusudi nadhani. Hii topic ni Rahisi.
Vijana someni hesabu. Utajiri upo kwenye hesabu na matumizi yake sahihi.
Mkifanya hivi wenyewe wataanzisha miradi yenye manufaa kwa wote badala ya manufaa kwa wachache.

Asante sana.
===
Nitakuwa nimeeleweka bila kuongeza sauti.
 
Dah kunyimwa mkopo wa pikipiki ndio imekuwa nongwa.Kama anachodai Kingwangwala ni kweli kwamba walikuwa marafiki inaeleza nini kuhusu uwezo wa Hamisi kufikiri?
Eti amefuta urafiki jamaa kanikumbusha mbali sana enzi ya utoto kwamba usije kwetu tumefuta urafiki.
Hamisi endelea na maisha yako kuendeleza bifu na mtu asiyekujibu ni kuonyesha ulivyo kama mtupu.
 
Mwenye uwezo wake wa kufikiri[emoji4]

Tena ni Daktari wa binadamu professional miaka 5 chuo kikuu,

Tena kwa BOOM la serikali,
Ambazo Ni pesa za walipa kodi,
akiwemo uyo aliemtaja kua na uwezo mdg kufikiri[emoji4]
IMG_20210404_182550.jpg
 
Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Hamis Kigwangalla amesema Mohamed Dewji ni mfanyabiashara Mwenye Uwezo mdogo sana wa kufikiri ndio sababu amemfuta kwenye orodha ya Rafiki zake

Nimeamua kumpuuza na kumuondoa kwenye orodha ya Rafiki zangu, amesema Waziri wa zamani wa Utalii Dr Kigwangalla

Source Star tv Medani za Siasa
kanuni ,ili uthibitishe kwamba flani ni dhaifu katika uga wa biashara unatakiwa umpiku muhusika,je kingwa kampiku nini MOHAMMED? kama sio ushirikina tu?
 
Mwenye uwezo wake wa kufikiri[emoji4]

Tena ni Daktari wa binadamu professional miaka 5 chuo kikuu,

Tena kwa BOOM la serikali,
Ambazo Ni pesa za walipa kodi,
akiwemo uyo aliemtaja kua na uwezo mdg kufikiri[emoji4]
View attachment 2589737
kingwa ni mbumbumbu,yaani mwenzake anapenetrate soko la Afrika,anaingia kwenye copetition ya mabilionea Afrika na Duniani ,Halafu unasema uwezo wa kufikiri ni mdogo? ni rahisi kupenya kwenye siasa hata kwa mbumbumbu lakini sio BIASHARA,biashara wanapenya magician tu
 
Kigwangala kuhusu MO kasema ukweli kabisa, sbb MO kwanza ni tapeli mkubwa, katapeli Simba, hajatoa hata senti ktk bil 20 za kununua shares za Simba, ila kachukua 51% ya shares za Simba, kiuwizi kabisa, Wizara ya Michezo na uongozi wa Simba uko kimya tu..

MO is a crook, muongo sana, mwizi
 
Unaweza kukuta ndio huyu anayekopakopa kwenye Benki 5
 
Utajiri wa kurithi haukufanyi kuwa na akili. Kwanza utajiri wowote haukufanyi kuwa na akili.
Hizi ni fikra mgando,hivi unajua MO alirithishwa only 50B,miakaa 20 iliyopita leo ana 3.5T,hivi unafikiri ni rahisi kufanya multiplication?,haya make sure nawe unafanya wanao warithi kwako,secondly sio kila mtu anaweza kufanya biashara ni wachache ambao wanaupeo unaoeleweka,ni sahihi utajiri haukufanyi kuwa na akili bali akili ndio inakufanya uwe tajiri.
 
Kigwangala kuhusu MO kasema ukweli kabisa, sbb MO kwanza ni tapeli mkubwa, katapeli Simba, hajatoa hata senti ktk bil 20 za kununua shares za Simba, ila kachukua 51% ya shares za Simba, kiuwizi kabisa, Wizara ya Michezo na uongozi wa Simba uko kimya tu..

MO is a crook, muongo sana, mwizi
kuwa na wewe muongo,tapeli ili utoboe mkuu kama ni rahisi
 
Back
Top Bottom