uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Hivi ukiwa kwenye interview au mahojiano kama Yale ni lazima Kila unachoulizwa ujibu!?Kuna point ndogo sana aliikosa kigwangala kwenye Yale mahojiano PAUSE kama angepause kidogo angegundua hiyo Hoja ilishapita mda mrefu sana
Angemwambia mwandishi Hilo tuachane nalo
Angemwambia mwandishi Hilo tuachane nalo